Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

kuanzia tar moja July itapanda bei balaa maana kina Fulani watakua wameimiss kwelikweli
20170228_195302.jpeg
Mida ya kufuturu karibuni wakuu
 
Kitu cha kuchoma mkuu, ndiyo napata hapa! KARIBU sana Kiongozi
2ec719189d3d0a2d11e673e9c733626b.jpg
6a98fded039d311f7def8923fd7428f4.jpg
Nyie watu mnaniua na haya mapicha yenu jamani!!! Na nilivyo na ubaooo... Ukicheki jikoni kuna ugali na majani ya maboga!!! [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Nyie watu mnaniua na haya mapicha yenu jamani!!! Na nilivyo na ubaooo... Ukicheki jikoni kuna ugali na majani ya maboga!!! [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Paprika njoo bibie[emoji4]
 
Kuna kitimoto pande za sinza kwa kamanda sijui kama bado kipo. Kitu rosti kinawekwa pombe kali..konyagi au whisky yoyote. Balaaaaa!
 
Back
Top Bottom