Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

Rosti....Upate na kapilipili kwa mbaaalii... Na serengeti 😵.... Mpk udendaa jmn😅😅😅
 

Attachments

  • GBWA-20180713212138.jpg
    GBWA-20180713212138.jpg
    39.3 KB · Views: 33
Ya kuchoma kisha irostiwe na majani (mchicha)..ugali dona na ka st anna kando!
 
Nguvu ya tendo huongezwa na mazoezi, kunywa maji mengi na PESA
 
Nakumbuka miaka ya nyuma nikiwa pale mbeya MAMA JOHN kuna vibanda walikua wanakaanga hii kitu kiustadi sana...ngoma inakaushwa vema..ndizi inaminywa vizuri inakauka fresh...kakibanda kanamoshi ndani ila unaemjoy sana huku machozi ya kikulenga kwaajili ya moshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom