Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Daraja aina hii lipo Seattle Washington State US.
Linaitwa Evergreen Point Floating Bridge.
Urefu wake ni 2,350 meters tu! (sehemu inayoelea)
Ujenzi wake ulikamilika 2016
Lina njia (lanes) 6
Lina maboya (yanayoliwezeesha kuelea) ya zege 77 yenye uzito wa Tani 10,000 kila moja urefu mita 110, upana mita 23 na kimo mita 8 na nusu.
Maboya mengine 54 kila moja lina uzito wa tani 2,300 na kadhalika.
Gharama yake US $ 4.5 billions
Karibu sawa na bomba la mafuta toka Uganda mpaka Tanga!
Umbali Dar Zanzibar 90 km
Hiyo ni sawa na madaraja 39 ya Seattle!
Au madaraja 19 kati ya Bagamoyo na Zanzibar 45 km!
Garama sawa na 4.5×39= US $175.5 billions!
Ni kama T. Sh. 403,650,000,000
Hawa wanaojiita diaspora wa TZ achaneni nao ni washamba tu.[emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si washamba , hao waliotoa wazo hilo wako Scandinavia na kule ukianzisha organisation ya nchi yako unalipwa dollars karibu 10000 kwa mwaka na serikali za huko.
Wengi wa vijana wa kibongo wanazivalia njuga hizo pesa na kinachohitajika ni uonyeshe activities zako tu kila mwaka.
Ndio ukawaona kila mmoja hujaribu kuanzisha organisation yake na kujikomba kwa serikali ki magirini
HAMNA LOLOTE HAPO NI WATU NA NJAA ZAO TU NA ULAFI