Mdau wa Diaspora ajibu maswali kuhusu daraja litakalojengwa kutoka Dar hadi Zanzibar



Si washamba , hao waliotoa wazo hilo wako Scandinavia na kule ukianzisha organisation ya nchi yako unalipwa dollars karibu 10000 kwa mwaka na serikali za huko.

Wengi wa vijana wa kibongo wanazivalia njuga hizo pesa na kinachohitajika ni uonyeshe activities zako tu kila mwaka.

Ndio ukawaona kila mmoja hujaribu kuanzisha organisation yake na kujikomba kwa serikali ki magirini

HAMNA LOLOTE HAPO NI WATU NA NJAA ZAO TU NA ULAFI
 
Sio wote,huyo diaspora mmoja mpuuzi tu anayewazia kupiga cha juu ikipitishwa🤣🤣🤣
Sijawai kusoma jambo la kijinga km hili.
Mkimuona diaspora mwenyewe sasa mwenye hilo wazo.🙄🍗
Huyo jamaa alikua 🍺 wakati anaandika upumbavu wake !
 
Reactions: PNC
🤣 Ki magirini 😂😂
 
Mimi naona ni porojo tu wanatuletea wana Diaspora, huu mchakato wa upembuzi kwanini msingefanya kimyakimya baada ya kupata gharama na njia za kupata hiyo fedha ya kujenga ndio mngekuja kutuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliukiza gharama zitakuwa kiasi gani na zitarudiahwaje, sijajibiwa mpaka leo.

Sisi ni masik8ni si kwa mali tu, baki kw amawazo oia.

Kati ya sehemu zote za kuwekeza Tanzania, watu wameona daraja ndilo la muhimu kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar yenyewe ni ndogo mnataka muweke daraja mtujazie nchi yetu iwe kama manzese..Kwasababu wagogo lazima wajae daraja zima kuombaomba!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Relax mkuu alibakari

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aisee mawazo mazuri sana..kwa serikali hii watapata ruhusa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kweli kila jambo lenye mafanikio chanya huanzania kwa kilichomo kwenye kichwa KILICHOTUAMA cha Binadamu makini.Kisha wazo hilo linafanyiwa kazi kwa kuzingatia Ulazima,Faida na Hasara pamoja na Kipaumbele na sababu kama zipo kwa mustakabali wa maisha ya Watu,hoja ya Usalama ikitiliwa maanani.
Kwa hili la Daraja la Dar>>Z'bar ni wazo la sinema ya Kufikirka la kujenga ghorofa kwa "ice blocks"
Enyi walilia Uraia pacha wa huko ughaibuni ,changamsheni vichwa na muwekeze ama kubuni miradi itakayo kuwa na tija ya moja kwa moja kwa Watu hasa Wananchi.Mbona nafasi za kujibwaga kiuwekezaji zipo tele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji769]Hawo diaspora wanapata wapi iyo Tirion 403. Bank ya dunia haiwezi kuwakopesha pesa nyingi iyo. Kama wana pesa waje wafungue HUB nyingi za kilimo cha mboga mboga na kupeleka uko ulaya na sio kutaka mambo ambayo hawawezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: PNC
Kutoka Dar hadi Zanzibar ni km30?
Kwa data zipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Trillion 403,aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao diaspora kujeshebedua kote huko kumbe mipango ni kuomba hela kwa mabeberu,mie nilidhani wanajichanga kutoka kwenye vipato vyao.
 
Hao diaspora kujeshebedua kote huko kumbe mipango ni kuomba hela kwa mabeberu,mie nilidhani wanajichanga kutoka kwenye vipato vyao.
sasa mfukoni watoe wapi ela wakati wanasubiri vibibi wanavyovikata viage dunia wajichukulie pensheni
 
Hawa jamaa wanaoishi nchi za nje maisha ni magumu hadi wamedata, haya sio mawazo ya mtu mwenye akili timamu. Huyu ni DR Shika mwingine. Nchi za nje sio sehemu nzuri.
Chief naomba nikucheki PM tutete ishu fulani. Unaweza kunichek yangu ipo wazi.
 

Muungano tulio sio ni shida, ni muungano wa vitisho, muungano wa unyonyaji, wazanzibari hawasikilizwi sio tu kwa mambo ya Muungano hata zile bidhaa zinazo toka Zanzibar tanganyika hazifiki.

Nadhani diaspora wangekuja na suluhisho la muungano kwa mawazo yao ili kuleta amani nchii hii, wangefanya jambo kubwa na kihistoria.

Hilo daraja jengeni kwa vile muungano wazanzibari hawautaki nawahakikishia litapigwa mizinga, labda mulinde usiku mchana
 
Kuna daraja la kutoka China bara kwenda Hong Kong....nadhani ndiyo refu zaidi duniani...tuambizaneni?
 
Hakika
 
Hao wakiweza kujenga hilo daraja basi dunia nzima itaunganishwa na barabara
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…