Namsikia jamaa hapa kakaa seat ya mbele kwenye daladala analalamika kwa aliyekaa naye pembeni kuhusu mada zake kuwa zimejaa comments akiambiwa "HATUKUELEWI"
Nilitaka kumshtua ila nitapotezea nijue ni nani. Ila kuna kitu nimeshindwa kumuelewa huyo jamaa, kwa nini analalamika?
Mkuu ulitaka niandike nilimpa lift mdau wa JF kwenye vogue siyo.? [emoji23] Ahahahaaaaa
π Umepata wapi mawazo hayo?