Mdau wa JF analalamika kwa nini hamuelewi 😂

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Namsikia jamaa hapa kakaa seat ya mbele kwenye daladala analalamika kwa aliyekaa naye pembeni kuhusu mada zake kuwa zimejaa comments akiambiwa "HATUKUELEWI"

Nilitaka kumshtua ila nitapotezea nijue ni nani. Ila kuna kitu nimeshindwa kumuelewa huyo jamaa, kwa nini analalamika?
 
Nikivutaga shisha cha kwanza huwa sitaki kuongea au kupiga stori na mtu yeyote coz najua nitaongea kama uliyo yaongea hapo umekula shisha ya chugalee au ya wapi? Maake sjaeleo ulicho maanisha ktk Uzi wako mkuu
Namsikia jamaa hapa kakaa seat ya mbele kwenye daladala analalamika kwa aliyekaa naye pembeni kuhusu mada zake kuwa zimejaa comments akiambiwa "HATUKUELEWI"

Nilitaka kumshtua ila nitapotezea nijue ni nani. Ila kuna kitu nimeshindwa kumuelewa huyo jamaa, kwa nini analalamika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom