Mimi ni wa udubu.... Hakuna mtu ambaye sio mbea hapa duniani... sema wengi wanajifanya Low Key, lakini unakuta ndio wambeaHata Mimi nimekutana nao lakini wanaiweka ki professional wajiita professional Detective. Lakini huyu nj Wa jioni kabisa
Hakuna mtu ambaye sio mbea hapa duniani... sema wengi wanajifanya Low Key, lakini unakuta ndio wambea90 % niliokutana nao wapo hivyo Aisee, tena wanaume na sio wadada
Fake P mtani wako ,mimi nimekoleza tuHakuna mtu ambaye sio mbea hapa duniani... sema wengi wanajifanya Low Key, lakini unakuta ndio wambea
Umbea ni sehemu ya maisha, ni kama mtu anavyozunguzia siasa labda kiongozi fulani kaibiwa kura au kaenguliwa... au mchezaji mpira kuachana na timu yake.... zote ni umbea
😂😂😂😂😂😂Hata Mimi nimekutana nao lakini wanaiweka ki professional wajiita professional Detective. Lakini huyu nj Wa jioni kabisa
Bwashee wewe ndo kiredio?Duh , 🚮🚮🚮🚮🚮