I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Makanisa yamegeuka maeneo ya kuoneshea Ufahari na Utajiri wa watu. Aliyetoa msaada wa Mabenchi anataka jina lake liandikwe kwenye mabenchi hayo, anayetoa msaada wa Vigae anataka jina lake litajwe mbele ya waumini wote na apigiwe makofi nk. Wewe usiye na uwezo huna nafasi tena.