Mdee na Wenzake wawasili mahakamani kwa ajili ya usikilizwaji wa shauri lao

Halima Na Wenzake Hao Wanaendelea Na Danadana Mpaka Mwisho
 
Mkuu Erythrocyte, kwanza thank you for an invitation kunikaribisha kuosha jina, but its very unfortunately, mimi ni wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea kesi za uvunjifu wa haki za binaadamu kwa watu wasio na uwezo, yaani ni human rights lawyer. Issue ya kina Mdee sio human rights violation, hiyo ni political rights, its not something for me!.
P
Sawa Adv. Mayala, je mahakama zetu zina uwezo kisheria wa kusikiliza hizi political cases?
 
Mkuu Nkanini, mahakama kuu ya Tanzania ina kitu kinachoitwa “inherent jurisdiction” ni unlimited jurisdiction kusikiliza shauri lolote, tatizo sio mahakama, tatizo ni mawakili wa kihivyo, hatuna, and this is where I’ll come along!.

Thanks and Good luck mkuu, judiciary iliyo huru kwenye maamuzi yake ndio msingi imara wa utawala bora,Bunge linatunga sheria na judiciary inatakiwa iwe ina tafsiri hizi sheria kwa haki bila woga au uonevu
 
Mkuu Nkanini, mahakama kuu ya Tanzania ina kitu kinachoitwa “inherent jurisdiction” ni unlimited jurisdiction kusikiliza shauri lolote, tatizo sio mahakama, tatizo ni mawakili wa kihivyo, hatuna, and this is where I’ll come along!.
P
Mkuu, unaweza kukiri kuwa tatizo ni ukweli kwamba Mhimili wa Mahakama Tanzania hauna ubavu dhidi ya Mhimili Executive? Otherwise amri moja tu ya kiongozi ingelimaliza hili kama ilivyofanyika kwa kesi ya Mbowe...?
 
Tatizo sio mhimili wa mahakama, tatizo ni Tanzania hatuna mawakili competent wa issues za constitutional, na hapo ndipo wakili mimi nitakapoingilia kwenye tasnia ya sheria.

Kwamba umeamua liwalo na liwe,

Ufe na tai shingoni sio!!!!!🙃🙃🙃
 
Back
Top Bottom