Ntemii
JF-Expert Member
- May 25, 2022
- 295
- 553
Takribani mwezi tatu sasa tangu shirika la MDH linalojihusisha na masuala ya maendeleo ya afya halijaweza kulipa fedha wanazo dai watoa huduma.
Mwezi wa saba mwaka huu TMDA iliendesha mafunzo kwa watoa huduma za chanjo katika halmashauri za mkoa wa Mtwara ambapo mdau na mafadhili wa mafunzo hayo ilikua shirika la MDH.
Chakusikitishaa mpaka leo miezi mitatu sasa watoa huduma kwa maana ya waliotoa huduma za chakula na ukumbi katika halmashauri za mkoa wa mtwara katika mafunzo hayo hawajaweza kulipwa fedha zao wanazodai licha ya kuwasilisha nyaraka zote pamoja na gharama za madai yao.
Nivyema wahusika wa shirika hili mkatoa majibu ya lini fedha hizo zitalipwa ama hazilipwi kuliko kuendelea na danadana hizi.
inasikitisha sana shirika kubwa kama hili kulalamikiwa kushindwa kulipa watoa huduma,serikali hususani wizara husika tunaomba mtusidie katika hili.