KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa Miaka mitano.
Ukiwa pamoja na Extra bonuses kama vile Ujenzi wa uwanja...Media production building...Offices construction...Kununua Basi jipya... Kusajili mchezaji moja wapo ambaye Benchi la UFUNDI na mashabiki watamtaka.
Mbali na hayo Joseph Rwegasira ni msomi mwenye Masters ya Accounts na finance kutoka MZUMBE UNIVERSITY na ni CPA. Pia ni KADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI na diwani wa kata ya Makongo na Naibu meya KINONDONI.
Niwapongeze Kwa mara nyingine tena Simba Kwa tenda nzuri tofauti na Sisi YANGA Ambao Kila jezi tunapata 1300/= kutoka Kwenye 50000/= ya mauzo. Nimsihi tu MDHAMINI Mpya huyu atoe jezi zenye ubora na kutekeleza Kwa vitendo vile alivyoahidi.