KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Kichwa cha habari kimeandikwa mjue.
Cha ajabu kuna pongezi na jina tu sasa ndio kumjua gani huko?
Ukitaka tumjua lete details zote,
mfano; alikozaliwa, alikosoma, ameoa au ni team kataa ndoa?
Je Ukiachana na udiwani anajishghulisha na nini?
Au mpaka mtu afe ndio mnakuja na wasifu mzima.!
Na jina la kihaya kabisa, hapa kuna nusu utapeli nusu ukweli.Simba wameingia Cha kike.
Hii haina tofauti na mia 9 itapendeza
Huyo jamaa ni diwani kwa kupitia ccm na ni naibu meya wa kinondoniHongera kwa uchambuzi na uchunguzi na upekuzi. Hiyo kesi yake alikutwa na hatia?
Alikuwa Naibu Meya. Saizi Naibu Meya wa Kinondoni ni Michael Urio-Diwani wa Kunduchi.Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa Miaka mitano.
Ukiwa pamoja na Extra bonuses kama vile Ujenzi wa uwanja...Media production building...Offices construction...Kununua Basi jipya... Kusajili mchezaji moja wapo ambaye Benchi la UFUNDI na mashabiki watamtaka.
Mbali na hayo Joseph Rwegasira ni msomi mwenye Masters ya Accounts na finance kutoka MZUMBE UNIVERSITY na ni CPA. Pia ni KADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI na diwani wa kata ya Makongo na Naibu meya KINONDONI.
Niwapongeze Kwa mara nyingine tena Simba Kwa tenda nzuri tofauti na Sisi YANGA Ambao Kila jezi tunapata 1300/= kutoka Kwenye 50000/= ya mauzo. Nimsihi tu MDHAMINI Mpya huyu atoe jezi zenye ubora na kutekeleza Kwa vitendo vile alivyoahidi.
View attachment 3307013
Mtu analeta taarifa za tuhuma huko nyuma ila haleti yaliyojiri baada ya tuhuma inamaana nia ni kuchafua badala ya haki.Huyo jamaa ni diwani kwa kupitia ccm na ni naibu meya wa kinondoni
Andika na wewe keyboard IPO wazi Kwa Kila mtuNdugu mwandishi umepuyanga!!
ok asanteAlikuwa Naibu Meya. Saizi Naibu Meya wa Kinondoni ni Michael Urio-Diwani wa Kunduchi.
Yeye Joseph kabaki kuwa Diwani wa Kata ya Makongo.
MODS wamebadilisha original title ya Ujumbe Wangu Mkuu.... TITLE ILIKUWA MFAHAMU MDHAMINI MKUU WA JEZI SIMBA SPORT'S CLUB.Japo Tuhuma Inachafua sana na Inaumiza mno kisaikolojia Kibinadamu ,Kibishara ,kijamii nk
Ila pia ungeleta mrejesho yaliyojiri baada ya Kesi.
Jamaa pia ni Mpambanaji sana
Hata mimi ni lazima kwenye Biashara zangu.
Nitahujumu Uchumi.
Nitakwepa Kodi nk.
THE HIGHER THE RISK THE HIGHER THE RETURN.
So what? Tabia za kichawi zinakusumbuaMODS wamebadilisha original title ya Ujumbe Wangu Mkuu.... TITLE ILIKUWA MFAHAMU MDHAMINI MKUU WA JEZI SIMBA SPORT'S CLUB.