GGIRRIMATA
Member
- Sep 27, 2014
- 21
- 1
Poleni sana lkn tambua ukunga ni kitabu kilichojifunga huwa hakipo wazi mabadiliko yoyote yanaweza kutokea kwa mama mjamzito wakati wakujifungua.Dah mwanangu alipoteza uhai kwa kuyanywa... Nilisikitika sana.. Ila uzembe Wa hospital mama alitakiwa apigwe operations wao wakamzalisha hivyo hivyo and walipo chemsha wakamuongeza njia ikawa hamna namna Mtoto kuyanywa Maji... Huwa yanaingia hadi kwenye mapafu ni shida huwa yanatolewa lakini daktari awe mtaalam haswa mtoto huwa anapumua kwa tabu mwishowe hupoteza maisha... Nadhani clinic wanatakiwa wawepo wataalamu la sivyo Hawa wajinga wamejaa hospitalini clinic natamani kuwapiga shaba tutaendelea sana kupoteza watoto kwa sababu yao.. Hawajui Kazi wajeuri sana...
just imagine mama alishikwa na uchungu wao wakawa wanasema bado and then wakamzalisha naPoleni sana lkn tambua ukunga ni kitabu kilichojifunga huwa hakipo wazi mabadiliko yoyote yanaweza kutokea kwa mama mjamzito wakati wakujifungua.
Japo kuwa mama alionyesha dalili zote za kujifungua salama.
jeuri ni tabia ya mtu sio wauguzi wote ni jeuri.
kuongezwa njia hakuna uhusiano na kunywa hayo maji machafu unayosema.
Pole Sana,mimi pia nimepoteza mtoto kwa sababu hiyo uzembe mwingine Sana pale Muhimbili,sasa najifungulia KCMC Moshi.Dah mwanangu alipoteza uhai kwa kuyanywa... Nilisikitika sana.. Ila uzembe Wa hospital mama alitakiwa apigwe operations wao wakamzalisha hivyo hivyo and walipo chemsha wakamuongeza njia ikawa hamna namna Mtoto kuyanywa Maji... Huwa yanaingia hadi kwenye mapafu ni shida huwa yanatolewa lakini daktari awe mtaalam haswa mtoto huwa anapumua kwa tabu mwishowe hupoteza maisha... Nadhani clinic wanatakiwa wawepo wataalamu la sivyo Hawa wajinga wamejaa hospitalini clinic natamani kuwapiga shaba tutaendelea sana kupoteza watoto kwa sababu yao.. Hawajui Kazi wajeuri sana...
Mama Mimi ni uzazi wa kwanza Sijui lolote nimejifungua tena kawaida nikapewa mtoto,kumbe mtoto alishakunywa maji, walitakiwa kwanza kbla Ya kunipa mtoto wamfanyie checkup Ya Kila kitu ndio wanipe mtoto iliniuma Sana eti private hakuna lolote ni uzembe mkubwa.Poleni sana lkn tambua ukunga ni kitabu kilichojifunga huwa hakipo wazi mabadiliko yoyote yanaweza kutokea kwa mama mjamzito wakati wakujifungua.
Japo kuwa mama alionyesha dalili zote za kujifungua salama.
jeuri ni tabia ya mtu sio wauguzi wote ni jeuri.
kuongezwa njia hakuna uhusiano na kunywa hayo maji machafu unayosema.
Thanks and pole nawe ila tumuachie MunguPole Sana,mimi pia nimepoteza mtoto kwa sababu hiyo uzembe mwingine Sana pale Muhimbili,sasa najifungulia KCMC Moshi.