Mdhara ya mtoto kunywa maji machafu akiwa anazaliwa

Dah mwanangu alipoteza uhai kwa kuyanywa... Nilisikitika sana.. Ila uzembe Wa hospital mama alitakiwa apigwe operations wao wakamzalisha hivyo hivyo and walipo chemsha wakamuongeza njia ikawa hamna namna Mtoto kuyanywa Maji... Huwa yanaingia hadi kwenye mapafu ni shida huwa yanatolewa lakini daktari awe mtaalam haswa mtoto huwa anapumua kwa tabu mwishowe hupoteza maisha... Nadhani clinic wanatakiwa wawepo wataalamu la sivyo Hawa wajinga wamejaa hospitalini clinic natamani kuwapiga shaba tutaendelea sana kupoteza watoto kwa sababu yao.. Hawajui Kazi wajeuri sana...
 
Poleni sana lkn tambua ukunga ni kitabu kilichojifunga huwa hakipo wazi mabadiliko yoyote yanaweza kutokea kwa mama mjamzito wakati wakujifungua.
Japo kuwa mama alionyesha dalili zote za kujifungua salama.
jeuri ni tabia ya mtu sio wauguzi wote ni jeuri.
kuongezwa njia hakuna uhusiano na kunywa hayo maji machafu unayosema.
 
just imagine mama alishikwa na uchungu wao wakawa wanasema bado and then wakamzalisha na
Mtoto alikwama kutoka kwa sababu alikuwa mkubwa so muda walioshauliana hadi kufikia kuongeza njia hali ilizidi kuwa tete kwa mama. Mtoto akiwa mkubwa huwa ni kisu tu na sio kuzalisha kawaida..
 
kama maji yana maambukizi basi itakuwa rahisi kwa mtoto kupata maambukizi pia na hata kama hakuna maabukizi yoyote basi shida itakuwa kwenye upumuaji tu maana yanaweza kuingia kwenye njia ya hewa, kama vifaa vya kufyonzea maji vipo basi vitatumika na mtoto atakuwa salama ila kama hakuna basi njia mbadala hutumika na hapa inategemea uzoefu wa mkunga ili kuzuia mtoto asi 'aspirate' yaho maji.
 
akibugia mengi hupelekea hata kupotezq uhai wa mtoto lakini akinywa kiasi na akasalimika huwa ndo chanzo cha CRONIC ADENOIDS
 
Dah mwanangu alipoteza uhai kwa kuyanywa... Nilisikitika sana.. Ila uzembe Wa hospital mama alitakiwa apigwe operations wao wakamzalisha hivyo hivyo and walipo chemsha wakamuongeza njia ikawa hamna namna Mtoto kuyanywa Maji... Huwa yanaingia hadi kwenye mapafu ni shida huwa yanatolewa lakini daktari awe mtaalam haswa mtoto huwa anapumua kwa tabu mwishowe hupoteza maisha... Nadhani clinic wanatakiwa wawepo wataalamu la sivyo Hawa wajinga wamejaa hospitalini clinic natamani kuwapiga shaba tutaendelea sana kupoteza watoto kwa sababu yao.. Hawajui Kazi wajeuri sana...
Pole Sana,mimi pia nimepoteza mtoto kwa sababu hiyo uzembe mwingine Sana pale Muhimbili,sasa najifungulia KCMC Moshi.
 
Poleni sana lkn tambua ukunga ni kitabu kilichojifunga huwa hakipo wazi mabadiliko yoyote yanaweza kutokea kwa mama mjamzito wakati wakujifungua.
Japo kuwa mama alionyesha dalili zote za kujifungua salama.
jeuri ni tabia ya mtu sio wauguzi wote ni jeuri.
kuongezwa njia hakuna uhusiano na kunywa hayo maji machafu unayosema.
Mama Mimi ni uzazi wa kwanza Sijui lolote nimejifungua tena kawaida nikapewa mtoto,kumbe mtoto alishakunywa maji, walitakiwa kwanza kbla Ya kunipa mtoto wamfanyie checkup Ya Kila kitu ndio wanipe mtoto iliniuma Sana eti private hakuna lolote ni uzembe mkubwa.
 
Poleni sana mdogo wangu mwanae alipata tatizo kama hilo na mtoto alifariki baada ya siku moja,Inasikitisha sana
 
Wakuu,hata mwanangu anapumua kwa shida,anatoa ka sauti flani kama amebanwa na kwikwi,nahisi alikunywa maji machafu maana mtoto alichelewa kuzaliwa kwa muda kidogo akiwa njiani
 
Kila mtu kabla ya kuzaliwa lazima anywe maji machafu(amnionic fluid) kwa kiwango kidogo mno hii madaktari bingwa wameweza kusema kuwa huwa inafaida kwa mwili wa mtt huyo kwa kuwa inaenda ku activate mfumo wa umeng'enywaji chakula na baada ya kama wiki moja hivi mtt huwa anajisaidia kinyesi laini cha kijani kisicho na harufu ( meconium stool) hii kuonyesha kuwa maji yale yametoka.
Shida huja kama yakipita kwa njia ya hewa kwenda kwenye mapafu na hii hutokea mara chache mno na ni rare sana .
 
Back
Top Bottom