Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
Diamond anatumia unga first class sio vumbi lile la kinondoni.kwa macho yangu nimemshuhudia akinunua mzigo .siku sio nyingi siri haitokua siri tena.waulizeni wauza ngada wa pale kinobdoni watakuthibitishia.mpaka Wolper nae ndani.
Hili mimi naona ndo muhimu zaidi manake kwa ile level aliyofikia, ingekuwa ndo wengine kumbi zote za starehe hapa mjini wangemjua yeye na team yake; ingekuwa kila ugomvi wa mastaa hapa mjini, ingekuwa nae yumo... lakini wapi!! Hata ambazo watu wana-force kuita kwamba anatafutia kiki, kimsingi... wala si hivyo!Pamoja na mambo mengine yote Diamond ana nidhamu sana na maisha ni kati ya vijana wanaokumbuka kua wametoka kwenye umaskini
wameshaanza kutokwa na povu.Umenena vyema sana, japo watakuja na matusi wanaomwabudu
Nadhani anakitu....just a matter of time.Huyu jamaa tusimbeze huenda ana kitu ni suala la kusubiria tu
Wachaa wee.ila wolper ile interview yake na zama Hakua sawa.Lakin ikumbwe ngada ni ngada hakuna first class wala third.unadhani kina Houston walikua wanatumia upi? Sio first class.Diamond anatumia unga first class sio vumbi lile la kinondoni.kwa macho yangu nimemshuhudia akinunua mzigo .siku sio nyingi siri haitokua siri tena.waulizeni wauza ngada wa pale kinobdoni watakuthibitishia.mpaka Wolper nae ndani.