Mdogo mdogo, Diamond atabwia unga

Mdogo mdogo, Diamond atabwia unga

Diamond anatumia unga first class sio vumbi lile la kinondoni.kwa macho yangu nimemshuhudia akinunua mzigo .siku sio nyingi siri haitokua siri tena.waulizeni wauza ngada wa pale kinobdoni watakuthibitishia.mpaka Wolper nae ndani.
 
Ila wabongo hatuna jema akiwa mshamba mshamba atalaumiwa vile vile ooh na mahela yake yoote bado anavaa ronya,lifestyle hovyo hajui kuishi ka celebrity nk nk...
 
Naona hapo anaonyesha ishara YA vidole ya kishetani... ya devil horn
 
Aliwazalo mjinga ndio litakalomtokea-Darubini.
 
Pamoja na mambo mengine yote Diamond ana nidhamu sana na maisha ni kati ya vijana wanaokumbuka kua wametoka kwenye umaskini
Hili mimi naona ndo muhimu zaidi manake kwa ile level aliyofikia, ingekuwa ndo wengine kumbi zote za starehe hapa mjini wangemjua yeye na team yake; ingekuwa kila ugomvi wa mastaa hapa mjini, ingekuwa nae yumo... lakini wapi!! Hata ambazo watu wana-force kuita kwamba anatafutia kiki, kimsingi... wala si hivyo!
 
Hata mimi nahisi anakoelekea ndiko kwenye anguko lake,Michael Jackson alianza taratibu kujibadilisha hatimaye ikafikia mahali akapoteza mvuto kwa watu na kuonekana kituko.

Yaani Michael Jackson alibadirika na kuwa mimi Kituko ?
 
ushauri mzuri sana kama atausima. Hivi managenent yalke vipi au si ruksa kumshauri mambo kama hayo.
 
Diamond anatumia unga first class sio vumbi lile la kinondoni.kwa macho yangu nimemshuhudia akinunua mzigo .siku sio nyingi siri haitokua siri tena.waulizeni wauza ngada wa pale kinobdoni watakuthibitishia.mpaka Wolper nae ndani.
Wachaa wee.ila wolper ile interview yake na zama Hakua sawa.Lakin ikumbwe ngada ni ngada hakuna first class wala third.unadhani kina Houston walikua wanatumia upi? Sio first class.
Good catch mdau!
 
Ila lisemwalo lipo kama halipo laja.ila kwanini watu wanaingia huko wakati wanawaona wenzao wanavyopoteza maisha.
 
My take;
1.kwa kua muandishi amebobea kwenye habari za udaku inawezekana tayar amepata tetesi kua msanii pendwa anagonga unga hivyo ameleta JF kua mtu wa kwanza kutujuza.

2. Kuishi maisha bila misingi ni tatizo kubwa sana , msanii pendwa Hana misingi maisha yake yanaongozwa na mihemko anapelekwa tu mawimbi yanapotaka aende.

Andiko hili lina mashiko sana, ni suala la muda
 
KUNA KINA diamond wengi sana hawahuwa wanavaa viatu vya diamond ktk kila jambo na kulipa perspective zao
KUNA wanao amin diamond ni mmoja na kila anachofanya kafanya sababu aliweza fanya hawa question na ukiquestion ni tatzo
Kizur ni kwamba matabaka haya yote yamejengwa na juhudi za diamond
 
Back
Top Bottom