Mdogo mdogo, Diamond atabwia unga

Mdogo mdogo, Diamond atabwia unga

Ngoja nitafakari maajabu ya Wabongo wa JF!

1. Platnumz ana mama ake mzazi na wapo karibu kweli kweli na mwanae: Aidha mama amepotezea au wameyamaliza huko huko kv mama anafahamu haya ni maisha yake and the kid is old enough!

2. Platnumz ana my fiancee wake Zari: Nae kama mama Chibu; amekausha!

3. Platnumz ana dada zake wawili ambao anai-interact nao sana: Madada zake hawa wote wamepotezea au wamemalizana na kuona yote hayo poa tu!

4. Ana cousin wake Rommy ambae ni mkubwa kwa Platnumz: Sawa na mama mtu na dadaz, nae amekausha au wamemalizana!

5. Ana Mameneja 3 na wote anawaheshimu: Wote hawa nao wamepotezea au wameshamalizana wenyewe na kuona it's okay... get going!

KINYUME chake, anatokea mtu mwingine from nowhere... sio ndugu yako, you don't have any direct relationship with him lakini hapa ndo wanataka kujifanya wapo more concerned na maadili ya Diamond kuliko mama ake mzazi, dada zake, cousin yake mameneja wake na wengine... aaaaaaargh!! Acheni habari zenu bhana! Mtu halazimiki kuwa mhitimu wa chuo kikuu kufahamu kabla hajatoka public na hayo mambo tayari mama ake na wote niliowataja walishafahamu hata kabla ya huyo Luqman! So, who's the hell are you to judge something already approved by inner circle members?!
 
1. Sasa ni kipi alianza? Alianza kutumia ngada au kutoboa na kuweka gold tooth?

2. Soma ulichokiandika, rudisha akili kwa Diamond tangia 2009 wakati anaanza kisha rudi kwako mwenyewe! Na baada ya hapo rudi tena kwenye hoja yako #2; rudi tena kwako mwenyewe kisha tafakari!!
My take [note that]
 
Back
Top Bottom