Mdogo Mdogo (Diamond) ndani ya Ufaransa

Mdogo Mdogo (Diamond) ndani ya Ufaransa

Nipo nchi za kiarabu kwenye radio kila saa wana request ngoma ya mdogo mdogo
 
Nipo Musoma hapa katika jiji la Tarime, jana nilipita Rorya huko, nikakuta nyimbo ya daimond inapigwa kwenye harusi.
 
Niko hapa katika jiji la Bogota Colombia nasikia nyimbo za bi kidude zinapigwa mtaani, ile sexy voice yake wacolombia beki hazikabi, hongera kidude huko uliko kwa kutangaza kiswahili.

Hah ha ha ha ha ha thanks mkuu wasalimie Kolombia
 
Hapa keko magurumbasi hatujui hata diamond ndo nani
 
Kuna siku nilikuwa Lusaka yaani club wanapiga nyimbo za davido na diamond tu
 
Hahahaa. Wengine wapo zile lodge ambazo zimeandikwa majina ya nchi mbalimbali mlangoni basi wanahisi wapo kwenye nchi husika..
 
Nipo Donetsk,Ukraine ni milio ya risasi na kitorondo kila mahali,
 
Kwa ughaibuni nchi ambazo kuna waafrika wengi lazima utasikia nyimbo za Diamond. Last summer nilikuwa kwenye duka la nguo Brussels nikasikia jamaa wanagonga ngoma ya Diamond(mawazo- tena kipindi ile ilikuwa hit kweli). Nikashangaa, Diamond anasikilizwa Belgium nikamwambia jamaa huyo ni msanii kutoka nyumbani kwetu, akasema rafiki yake anatoka Congo ndiye huwa anampatia hizo nyimbo
 
Back
Top Bottom