Ni lazima utoke na mdogo mtu pia?Kwel mkuu itabidi nfanye hivo
Fact kiongoz,,nashukuru sanaaHilo la kuhamia kwenye room yako ni moja. La pili hata siku moja usije ukaingiza ndani kwako wanawake wawili tofauti tena ndugu wanaojuana. Watakuwa team moja kama ndugu na wewe utageuka adui kwao. Watakuchuna ngozi ukiwa hai dogo.
Pamoja Sana kiongoz,,Hilo la maanaKuna vitu vingine ukikataa unapata dhambi! 😂
Lakini mkuu jitaidi kwenye masomo hayo mambo tu.
Hawa ndio viongozi wa kesho!!!! Hatari sana.