Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

Mimi huyu anaejiita mdogo wake Gwajima nashindwa kumuelewa. Kama anamaanisha kuwa gwajima anajihusisha na madawa si wampeleke mahakamani. Swala la msingi analolopinga gwajima ni namna alivyozalilishwa na wengine wote.

Hasa kwa kuzingatia kuwa nchi ina vyombo vya dola vinavyofanya kazi kisheria. Ambao hao ndio kimsingi ndio waliopaswa kulichunguza jambo na kisha kuja uthibitisho wa kiupelelezi, na sio kukurupuka na kuwachafua watu. Shame on ccm and Daudi Bashite.
 
Hahahahaha

Huyu Jamaa anaitwa Joshua Chiwanga nimesoma naye kwa nimjuavyo mimi wala hana undugu na Gwajima...Labda undugu wa kupewa ili ifanyike Press Conference ya kumtetea Gwajima.....

Hahahaha Joshua naona umekuwa mpunga ndugu yangu....Tukumbukane aisee!
Duh!
 
Huyo sio mdogo wake kwakweli...yani ndugu yako wa dam kabisa anatuhumiwa kuuza unga anadakwa na kulala central ...badala ya kumsaidia unasema ujinga kama huo..ety serikali inamlea sana Gwajima....ety anatuhumiwa vingi sana...hajamfufua baba wa watoto yatima ....huyu ni mjinga....kwaiyo anaisapport serikali imkandamize kaka yake...imfunge...imtuhumu kwa kuuza unga...huyu dogo anabidi akapimwe akili...Na sidhani kama ni mdogo wake wa kweli
 
Back
Top Bottom