Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Wanawake walio wengi wakishapata vielimu hivi. Akili zao zinakuwa makalioni, hawana akili kabisa. Elimu yake ya biashara anaitumia kumpumbaza dada yake, na bahati mbaya elimu yenyewe hajamaliza.
 
Tatizo halianzii Kwa huyo shemeji yako Bali linaanzia Kwa mkeo mwenyewe, ukimfukuza shemeji yako bado tatizo lipo pale pale hizo dharau zimeanzia Kwa mkeo japo nahisi hujazigundua au hajaziweka wazi bado ila ni suala la muda tuu.
 
Fukuza na asionekane hapo kwako forever.
 
Jinsi nilivyo na upole na ukimya wangu sijawahi kupata kadhia hii kutoka kwa mwanamke!

Brother kuna sehemu haupo sawa kuimeneji familia yako, familia ni kusikilizana mwanamke analazimika zaidi kumsikiliza mwanaume huku mwanaume akiwa na hiari ya kumsikiliza mwanamke, hapo ndipo itakuja kusikilizana.

Yaani mmoja analazimika kuwa chini na mmoja anapaswa kuwa mnyenyekevu, na hapo vipimo vingi vimeshatumika kupima akili ya mwanamke.

Akili ndio inayoongoza na ndio inayotoa matokeo chanya , mwanaume zaidi anaongwa zaidi na akili kuliko mwanamke , ye mwanamke anaongozwa na hisia, hisia na akili ni kama maji na mafuta.

Brother mke wako anahitaji kutumia mabavu, nguvu , udikteta ili familia yako iendelee kuwa imara, ikibidi piga! Hakuna sehemu utakayo fikishwa kwa kwa kumuadhibu mtu kwa minajili ya kumweka sawa kiakili.


Pole sana lakini .
 
Mwinamishe huyo shemeji yako akuheshimu,anawashwa na nyege ndio maana anakuona wewe kama mwanamke mwenzake.
Fukuza kima hiyo.
 
Nimepandwa na hasira kodogo nipandishe mashetan ati kwamba huyo shemeji aondoke tarehe ngap ??? Yaan mpaka nataka kutupa sm chin kwa nilivopandisha hasira😈😈☠
 
Kesi za aina hii huwa sipendi kutia neno kwa sababu kama victim mwenyewe hawezi kufanya maamuzi wewe wa nje unamsaidiaje?? Hapa mkuu ulitakiwa uje na maamuzi tayari ndo wadau waanzie kushauri hapo.

Nimesoma comments za wadau kwa kweli zinakudhalilisha uanaume wako(No offense). Kuna wakati mwanaume unatakiwa uwe mbabe wa maamuzi.

Nikupongeze hujatembeza kichapo. Mimi sio mdau wa ukatili wa aina yoyote ila nikuambie tu ulichofanyiwa ni zaidi ya ukatili na ndo maana hiyo hali inakutesa. Najaribu kuwaza kama una watoto na wameshuhudia/ kusikia hayo......

Stand up ! be a man! jiulize unataka nini kwenye hayo maisha.. Your life your choice!!
POLE.
 
Hiyo issue ya kugawana mali boss ni yakisheria ,sio ya kidini mzee upo? Sasa ww kama muislam siku puyanga uoe demu feminist au ana washkaj zake wanaharakati flani hivi utaelewa sasa, demu akisha jua tu sheria zikoje basi umeisha kweny Hilo, Mbona huku mtaani ndoa za kislam hzo hzo watu wanapigana 50% percent kila siku.
 
Timua hiyo kenge mkuu halafu uje utupe mrejesho
 

Wewe ni bwege.
 
Napata wakati mgumu kutamka au kuandika haya lakini kiuhalisia matendo na mienendo ya taasisi ya ndoa inawasukuma watu kufanya zinaa kuliko kuoa.......

Hakuna tena Cha kujivunia Kwa mtu aliyeoa au kuolewa kutokana na misuko suko na mikiki mikiki kwenye ndoa......

Hebu fikiria unaona ili kupata utulivu na kuanza kupambana ili kupata mali ili muishi maisha mazuri.....lakini mke wako kipenzi anawaza muachane ili mgawane mali....
 
Mkeo anagongwa na katibu na huyo shemeji anajua ila wewe ndo hujui kwa hiyo anakuona mpori pori tu.

Utaniona kama kenge fulani hivi ila nimezama kigreat thinker.
 
Inaonekana huo mtaji ni wa mwanamke ndiyo maana huna sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…