Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Fukuza bint bila kumungalia mkeo na mdingi akija mpe wiki kadhaa kisha nauli kwao
Ukifatisha ya mkeo aje aishi hapo ndo umepotea hiyo nyumba mtakuwa wanaume wawili na wote wana mamlaka juu yake
 
Mimi nilisha fukuza mashemeji wale wanaotaka kuja Nyumbani kwangu kutawala, Sasa hivi hata wakija kusalimia Watoto, hawaruhusiwi hata kugusa fridge, hata wakitaka maji ya kunywa, waombe kwa mmoja wa wanafamilia wa humo ndani!!

Ila naonekana ni rohoo mbaya, lakini sina jinsi is all about peace within my family!!!
 
Mkuu mchaga mtani wangu tuliza kichwa anza kuhamisha miamala yako na baba mtu asije hapo na mdgo mtu fukuza kwako na kwenye biashara zako usimuweke yajayo ukizubaa umeisha. Hamisha maisha yako una windwa kumbuka mtu mwenye hasira anaongea ukweli tupu.

Huyu mkeo ukute wanakuvizia ili muachana mgawane mali kwa msukumo wa ndugu zake. Akili kichwani mwako hamisha miamala yako km ni nyumba anza kuikopea kajenge mbali wasijue wewe mwanaume bwana.
 
Hahah

Kwa nini shemeji yako anakudharau hivyo?

Tena wa jinsia Ke!?
Hii vita ni kubwa sana jinsi nilivyoisoma.
Hii ni vita inayohusisha utamaduni au ukanda ndio zinaleta huo mtafaruku.
Mchaga ni mbabe kiasi fulani ikichanganyika na ubahili wakati wakurya ni wababe na jeuri hawataki kutawaliwa hapo ndipo moto unapowaka.

Na hapo wanaposema wamemdharau haimaanishi kwamba kweli wanamdharau ila wanachomaanisha ni kwamba kuna huduma fulani wanazitaka ila mwanaume anabana, hizo ndio lugha za wanawake ndugu.
 
Fukuza bint bila kumungalia mkeo na mdingi akija mpe wiki kadhaa kisha nauli kwao
Ukifatisha ya mkeo aje aishi hapo ndo umepotea hiyo nyumba mtakuwa wanaume wawili na wote wana mamlaka juu yake
Kama Shemeji yake huyo ni Mwanamke,basi kabla hajamfukuza amgongee kwanza na ndiyo wataheshimiana!!
 
Jitahidi uwe na kipato chako tofauti na hivyo vipodozi vya mkeo
Hii ndio source ya ugomvi wote, watu wanataka kuwa huru kujiachia jamaa anakaza.

Heshima itakuja jamaa akishakuwa bize na mambo mengine au miradi mingine ya nje, hapo ndio chimbuko ulipotokea ule msemo"halafu shemeji wewe nimekudharau ujue"
 
Napita apo moro mda si mrefu, niko na DAF XF, cabin inatutosha watu wawili, shemeji yako ntaondoka nae free. Nampa lift mpaka Tinde. Pale atachagua aende kwa miguu ama apande Punda Mpaka Tarime.

Fukuza hiyo Funza na nauli usimpe gari ya free ipo Mkuu. Kama uko serious, saa kumi njoo pale Camel msamvu, niletee hiyo ndama nikusafirishie. Ntakuwepo apo mpaka saa kumi jioni.
 
Busara zitumike, itaneni na mke wako chumbani mpange kumfurusha huyo dogo na maamuzi ya baba Kuja yasitishwe ila huyo shemeji ako ajuwe ni Kosa kuingilia mambo ya kifamilia. Nauli ya baba acha iliwe tu
 
Wazee wengine bana sijui wamekulia familia za vipi. Yaani hawana uti wa mgongo wa kiume kabisa.

Kuna koo mkwe kwanza akija kwako ni kachungulia juu juu na kusepa. Ila sio kukaa hapo hapo na kuweka Kambi.
Kwa kawaida mkwe anatakiwa aende alipooa kijana wake, kama hana mtoto wa kiume, basi atulizane tu
 
Kaka amentukana asee jana hiyo usiku...
Leo kila nikitaka andika huu uzi nashindwa asee.

Nawaza mpaka mushipa ya dam na hisi inataka kupasuka.
Ulichoona ni "wake up call" kuna mambo yafuatayo kayafanyie kazi "talaka na kugawana mali" then kuna "kifo na kuchukua mali" utanishukuru tujikutana akhera

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Daah! Nimeandika nikafuta kama mara 4 hivi,... Yaani we jamaa una wakati mgumu sana,.. Na ukichukulia powa, kifo kiko mlangoni pako!
 
Jamaa asipo mpa taraka mke wake lazima atakuja kuuwawa hata kwa sumu
 
Ni kweli mkuu hakuna mzee wa kikurya akaenda kuishi kwa mtoto wake wakike ningumu maana wazee waki kurya mara nyingi wanakuwa na wake wengi na watoto wengi na % kubwa wanakuwa siyo tegemezi kiasi cha kufikia kwenda kwa mabinti zao wakike.
 
Cha msingi awape talaka wote ba mkwe, mke na shemej waondoke... Wanawake wapo wengi wanatafuta fursa..
Shemeji hana kosa, issue ya kusema ampe talaka dada ake maana yake ni ujumbe ambao alikwisha jadiliana na dada ake, na dada ake akaonesha kuhitaji kuondoka!

Huyo shemeji ametumika tu, ila muhusika mkuu na mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…