Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Kirahisi ivi mkuu??

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kwaza hao wakurya gani kwetu ukuryani baba mkemwe huwa hatakiwi kuishi kwa binti yake labda kwa kijana wake wa kiume ,Na kama ikitoke iwe kwa sababu maalumu labda ugonjwa ili awe karibu na huduma za hospitali.Ushauri wangu timua binti na dada mtu akizingua mrudishe kwao kwa muda akajifunze .
 
Sio kweli ni nadharia
 
Unaombajd ushauri kwa hilo ndugu had mdogo wake kaamua kukutamkia hayo inaonesha wanaongea meng sana juu yako la muhimu waache waende tu
 
Baba Mkwe anaenda kwa binti
Kufanya nn na kashamuoza.
 
Ushamdekeza kwa mda mrefu,Kesha kusoma na keshajua udhaifu wako, kiasi kwamba eti mpaka mdogo wake anakukoromea!

Vp hamna watoto? Kwanza shemeji mtu anapataje ujasiri wa kupazoea nyumbani kwako?
 
Meku Hilo tatizo dogo,Cha msingi nipe namba ya huyo dogo nitamkeep busy
 
Mwondoe huyu binti nyumbani kwako meku.utakuja kunishukuru,akiendelea kukaa hapo atakuharibia nyumba,Ila huyo mzee Kaa naye.
 
Ila Kama wewe Ni mjanja mle mbususu atakaa kimya ,Vinginevyo ukishindwa mwondoa arudi kijijini
 
Kimsingi unashida kwenye ndoa ,kuwa makini na nyendo zako Kuna Mambo Mengi yalishazungumzwa kwa huyo dogo ,kwa kifupi anakufahamu nje na ndani ndio maana hakuogopi,ndio maana heshima unashuka,kuwa makini na mke wako, ukiona hizo dalili kwenye ndoa uanze kufunguka masikio, huenda Ni sababu tuu zinatafutwa ili muachane.
 
Mchaga na ubabe wapi na wapi ni videbwedo, Njoo uchagani uone wanaume wanavyopelekeshwa na wanawake zao na mwisho wanawatoa na uhai kabisa. Wanaume wa kichaga mbele ya mke hamna kitu.
 
Hatari sana hiyo.

Kwanza huyo mdogo wake mkeo arudi kwao. Mkalishe chini mkeo mzungumze na umpe principal zako.

Siungi mkono wazo la kumfukuza mkeo..

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…