Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Kwa jinsi jf ilivyoharibika.... unaweza kukuta tunaumiza kichwa kutoa ushauri kumbe mtoa mada ni mtoto wa serikali amekaa kwenye kochi baada ya kushiba ugali na maharage akaamua atuchemshe akili watu wazima uku akituchora tu........

Nikilitazama uzito wa jambo na mtiririko wa majibu yake napata mashaka na ukweli wa tukio hili.....
 
Mwanaume kuheshimika huanza na outlook yake. Yaani sura flani ya Mbuzi, no mazoea. Pole kijana. Binafsi mke wangu anafahamu fika sipendi ujinga.
 
Mimi huwa naitwa mkorofi bila sababu za msingi. Kwa mfano ningekuwa mimi ndio wewe huyo binti asingelala ndani usiku huo. Jinsi ulivyo mvumilivu umesema eti aondoke Jumatatu
Sio kulala ndani kwanza ujasili anautoa wapi wakuzungumza na mimi ivyo
 
Huyu ni mpuuzi tu. Analeta ukabila. Toka lini baba wa kikurya akaenda/kuomba kuenda kwa mtoto wake tena binti aliyeolewa mzee akapewa mahali...

Mzee wa kikurya(baba) ni marufuku kuingia kwenye nyumba ya mtoto wake aliyeoa achilia mbali aliyeolewa...

Mdau apo kasema hili pia. Huyo sio mkurya maybe MJITA kama alivyosema.

Mkurya OG(MZANAKI, MKENYE ,MWIREGE, MNYABASI, MLENCHOKA, MUNCHARI, MKEROBA) ni marufuku kuingia kwenye nyumba ya mwana wake aliyeoa achilia mbali binti yake kirahisi rahisi tu kama anavyosema huyu mchaga mwenye kifadurooo...

Speaking from experience sana.

Nimeishi kanda ya ziwa (Mara, Mwanza,Geita) kamwe baba wa kikurya hamtembelei mwana wake akaingia ndani ya nyumba anayoshare na mke wake.

Baba yangu na uwezo wake wote kamwe hajawahi kutembelewa na baba yake kwake... Wala babu kizaa mama kamwe hajawahi ila mabibi hao ndo wanakujaga sana tu hata kwa case ndogo ndogo ila sio baba. Na ikitokea baba(babu) kaja we seek his shelter elsewhere nearby but never at home NEVER

Mtoa mada ni mchaga wa ovyo sana. FIDHURI KABISA. kama mtoa mada ni original representation ya wachaga basi hao watu are rotten to the core ndio maana na nchi hawatokaa wapewe...

He deserve it. SHUBAMITIIII
 
Ata mimi nimeshangaa Mzee wa kikurya akakae kwa mtoto wake wakike na Wazee wakikurya hawana njaa njaa sanaa kufikia kwenda kuishi kwa mtoto wake wakike.
Wazee wa Kikurya nao wanapenda ganda la ndizi siku hizi Kama Wazee wa Mombasa! Soon nao wataanza kushinda na Msuli tu bila puchi!![emoji3][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kabla hajaondoka huyo shemeji yako hakikisha unamwomba game umpelekee moto. Man nasisitiza umpelekee moto ili heshima iwepo.
 

una autority kidoo sana kwenye familia yako. Jitafakari
 
Huyo baba mkwe akija usipige nae story kabisa akikaa sebuleni akiwa anaangalia TV unazima. Unakuja kukaa sebuleni na Boxer.

Hiyo familia haina adabu kabisa yaani baba mkwe anakuja kwenye mji bila kukujulisha?! Mtoto wa 98 anakutukana na unachekelea daah wengine sijui mnazaliwa vipi? Mtia adabu mkeo anza na kufukuza mdogo mtu kisha mtimue baba mkwe hawezi kuja kuvaamia makazi kama nzige bila taarifa.

Mkeo mpe onyo kubwa sana na hata ikibidi mrudishe kwao akajifunze adabu. Shemeji yako anatakiwa apewe adhabu ya Samweli Doe
 
Wazee wa Kikurya nao wanapenda ganda la ndizi siku hizi Kama Wazee wa Mombasa! Soon nao wataanza kushinda na Msuli tu bila puchi!![emoji3][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana haita tokea kwanza wanakuwa na wake wengi na watoto wengi sirahisi kwenda kwa mtoto wake wakike labda kuwe na msiba au harusi huyo mchaga hataki kusema ukweli wazee wengi wakikurya wengi wao wanakuwa wastaafu wa Serikali kwaiyo wanakuwa na miji yao mizuri tu, huyu mchaga atakuwa ubinafsi unamsumbua unajua Jamii ya watu wa kaskazin wengi wao ni wabinafsi sana hasa kwenye maswala yaki jamii.

Na wazee wakikurya wakija Mjini mara nyingi ufikia kwa Ndugu jamaa na marafiki.
 
Mleta mada kasema ameoa mkurya, wewe unalazimisha mke wake awe mjita sababu wewe ni mkurya na huamini kama kuna wakurya wa aina hiyo ya "dada zako". Dunia na watu wake vinabadilika sana.

Baba wa kijita kwenda kuishi kwa kijana aliyeoa binti yake siyo jambo la kawaida labda kwa vile nyakati zinabadilika. Nachoweza kumshauri mleta mada, "awe macho" daloli ya mvua ni mawingu.
 

Mkuu vijana kabla ya kuoa jaribu kuangalia jamii unayotaka kuoa je mnaendana nayo kama mtoa mada ni mchaga kimalezi husingeoa Mwanamke kutoka kanda ya ziwa yani mtoa mada alitakiwa ao wanawake kutoka Kanda ya kwao kwasababu tabia zenu zinaendana za ubinafsi.

Mfano wewe umeoa mwanamme kutoka kanda ya ziwa utashangaa ukiona akipika chakula kingi na kuwapa majirani au akiombwa vitu na majirani yeye atakuwa anatoa siyo wachoyo, sasa wewe hujazoea kuona mambo kama hayo.

Wakati tupo wadogo mtaani kwetu kulikuwa na sherehe za kipaimara ukafika wakati wakula akatokea mama mmoja wa kipare akawa anatufukuza tusile chakula wakati sherehe ni ya mtoto mwenzetu ambaye tunacheza nae kila siku mtaani na shuleni.
 
Ataishia kukuzushia kesi kwamba ulimtongoza..hivi mkiambiwa tuachane tugawane Mali mnahofia Nini ..ngoja wakupoteze sasa kwa sumu
 
Wote na mkeo inabidi wasepe kesho asbh na zile gari za saa 12,Hela ya kula wamuombe baba yao

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Umeyapika mwenyewe.....

Wameisha ksoma madhaifu yako..
Pole sana aisee,upo pabaya mno

Mwisho....kama mimi ningemfukuza siku hiyo hiyo atakama ni saa 9 usiku,ambaye angemtetea wangefuatana,
baba ake ningemzuia asije hiyo nauli ale tu huko maana kitendi cha mwanamke kumleta bila ushauri wangu ni dharau tosha....

TAHADHARI: WAKURYA WAACHIE WAKURYA
 
We vipi bwashee?
Umeweka ndani kanda maalum?
Utaweza?
 
Huvi, huwa mnaoa kutafta nini wakati wanawake wa kutom wako wengi namna hii! Yaani kwa nini ulioa!
Sasa mkuu credit Ni muhimu kuoa ili kupata uzao hata kam wanawake wanasumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…