Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Hiyo simple, mkurya anatafuta ishara ya upendo hapo. Mtandike nondo moja kwenye mkono uweke alama atakuonyesha upendo mpaka ushangae.
 
Kama una watoto wakiume jitahid wanao wasiwe ndezi kama wewe OP
 
Fukuza, na dada akimtetea unganisha wote.

Mtakutana cortini
 
Nimempoteza bro wangu kwa kabila hilo hilo na sisi ni wachaga kisa mali ...so kuwa makini maamuzi yao huwa ni kifo tu unapokuwa na mali
 
Kweli kabisa na mke wa bro yeye ni mjita tumehangika na bro ugonjwa hauonekani kumbe mke keshafanya yake baada ya kuzika kaondoka spidi home kaenda kwenye nyumba yao waliyokuwa wanaishi kachinja kondoo bila kushirikisha mtu yoyote wa home
 
Acha kufuga ujinga shemeji anakuletea kibesi ndani Kwako? Au kiwanja ulipewa na baba mkwe? Yaanii mke anamkubalia baba yake aje Kwako bila concern yako?

Hivyo jumatatu waanze safari wote
 
Sasa fanya hivi subiri baba yake afike kwanza alafu kamkatie tiketi ya ya siti ya pamoja na huyo shemeji yako alafu umrudishe stand asubuhi ya siku inayofuata warudi kwao huku ukiwaeleza wazi kuwa wewe ndo Mwanaume ilipaswa upewe taarifa ya ujio wa mzee kabla ya maamuzi na baba awafundishe adabu watoto wake, alafu ukirudi nyumbani hakikisha hauli chakula alichopika mke wako kwa wiki 3 yaani siku 21 na ikiwezekana mueleze unataka kuoa mke mwingine atakae kuheshimu
 
Kuna yule mwana alileta story ya kaka yake kuachana na mkewe. Walikuwa wanaishi kwenye nyumba yao ila tatizo mwanaume ambaye ndo kk yake alijenga ile nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke ambaye ndo mke wake baada ya miaka mke akawa anataka taraka na anamwambia mwanaume aondoke kwake au abebe tofali zake asepe embu kautafute ule uzi mkuu utakusaidi kufanya maamuzi mazuriii yatakayo kupa amani ya moyo
 
Alafu pamoja na ushauri wote utakuta jitu limekaa linalia huko ...huku likisema ...i love my wife....my soul mate... wewe ndio kila kitu kwangu mke wangu tumetoka mbali huku limekaa chini limeegemea kitanda na mchozi unalidondoka .


Kilicho baki wakuue tu tufunge hesabu kuwa haupo nasi tena.
 
Iseeeeee.....
 
Oya Mangi wasikuletee upimbi kwenye maswala ya shilingi yani kama huna mtoto rudisha kwao kima izo zika update mapenzi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wasimletee upimbi kwenye maswala ya shilingi
 
Nadhani utakuwa na nidhamu ya dini zaidi kuliko asili ya uanaume, ujasiri wa kwanza funga duka usijali watu watasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…