Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu


Ukioa tu izo mali ni zenu na sio zako mkuu!!! Omba mungu akupe mke mwema.... ila issue ya mnama hapa inaonekana mpole shemeji anatoa wapi mamlaka yakuzungumza na mimi???
 
Fukuzwa wote, la sivyo utafukuzwa wewe maana wameishakuona hauna msimamo, upole wako wautumia vibaya
 
Ujinga ulioufanya ni kutomla huyo shemeji yako, tafuta nafas umle, alafu atakuwa anakuletea umbea wote wanaoongea na dada yake then itakuwa rahis kwamdhibiti.
 
hiyo watu ukiishi nao mtu na dada yake bila kuwapelekea moto wote wanakuona hutoshi,bora purukushani itokee lasivyo watakuja kukulamba hadi makofi.
 
Dah! Bonge la ushauri mwamba, boss teleza na huu ushauri aisee
 
Natamaaa Yako itakuwa Kwa mumeo naye atakutawala
Umefeli kipengele Cha utawala
 
Kwanza mzee mwenye Akili/busara zake huwa anajiongeza kabisa kabla hata hajaambiwa na mkwe wake utaratibu wa nyumba husika.

Sema tuu watoto ni vichwa ngumu sometime mpaka ujinga wao unaelekea kwa wazazi wao.
Na kwa case ya huyu kaka, baba mkwe wake ilibidi ajiridhishe mwanae kakubaliana na mumewe ujio wake ndo afunge safari.
 
Fukuza wote. Dada, mdogo na baba.... Akili zikiwakaa sawa mwenye mji atarudi kwa magoti.

Hao washaweka mkakati wa kuanza kugawana mali ungali u hai

Acha uzwazwa.
 
Nilikuwa na mpango wa kujenga jumba kubwa ili mimi na familia yangu tujiachie.
Ile nimeona, kujenga jumba kubwa ni kualika watu wasio takiwa waje kuishi kwako na kukuletea kadhia.

Sasa mwakani naanza kujenga nyumba yenye vyumba viwili tu. Ndugu watakao kuja kuhamia, watalala sebuleni au jikoni.
 
Pole. Na yeye 'mshughulikie' kulinda heshima ya mji wako. Baba mkwe mwache aje ila mtafutie shughuli ya kufanya akuzalishie mali. He is your cheap labor...
 
Wewe ni mnyonge sana, kwa tabia hizo huwezi toboa
 
Utakuja kuwekewa sumu kwenye chakula wakuulie mbali
 
Yes wanasema uonavyo wazazi kuna possibility kubwa ya reflection ya watoto.
Mama hawezi kuja kwangu bila ruhusa ya mzee/mume wake nyumbani na nikiambiwa akae kwangu 3 days zikiisha ataondoka tu
Maana pamoja na kuwa ni mama yangu ila ni mke wa mtu ambaye ni baba yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…