Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Ameeleza wanayozungumzaga na dada yake kwa ufupi. Una tatizo kubwa sana na mkeo, katika hili mtu hatari zaidi ni mke wako. Yeye ndo ameruhusu hayo yote yakupate. Kama kuna eneo la kurekebisha basi moja kwa moja linamuhusu mkeo. Ukirekebisha hapo mengine yote yatakaa sawa.
 
Pia msaada tafadhali maana namawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya biashara.
Alafu pia ndugu lakini sina namna.[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Sijakuelewa hapo juu
 
Death con 3
 
kwaio we unamlekebisha kwamba mwenyew ajui kabira la mke wake? bongo ujuaji mwingi
 
Dah, asee pole sana. Ulitakiwa umnase hata kibao kumkumbusha kuwa wewe ni nani.

Angekuwa mwingine hapo, angemtimua hata muda huo huo.

Nasubiri mrejesho jumatatu kama atakuwa ameondoka.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ukiendelea kumchekea huyo malaya (shemeji) atazidi kukupanda kichwani. Punguza huruma za kishamba namna hiyo. Yan mtu umlishe ale ashibe anye apate nguvu za kukupandishia sauti namna hiyo.

Mtimue na mwambie asikanyage kwako mpaka kikao cha ndugu zake wakae wakuombe msamaha,
 
Yani jumatatu kote huko? Apo ni kwako au umepewa hifadhi ukweni?

Kama huyo dogo ulikuwa unamlipa muda huohuo alipomaliza kuongea alipaswa kukusanya vidaso vyake apotee kama jini.
 
Hii ishu tafuta wachaga wenzio uongee nao nawajua wachaga hawataki ujinga na upumbavu watakushauri vizuri sana, Ukipuuza huu ushauri umekwisha, inaonekana wewe mwepesi huna uzito wowote washakujua usiku wanakuchezea.

Ogopa familia ya wachawi halafu wewe uwe zoba, dharau inakuja automatic kama wewe huruki usiku na huoni ya gizani.

Fanya umafia wa maana, baba yao anakuja kuwaongezea nguvu ya udhibiti jipange, Naogopa inaonekana wewe zezeta kwao. Usiruhusu ndugu wa mkeo ashiriki biashara au kukaa sana home kwako kizembe ni hatari, ukioa mke anahamia ukoo wako,. sirudii haya yanatosha
 
Inasikitisha yaani unapolea ujinga hapo ndipo dharau zinapoanza Huyo shemeji ilitakiwa apigwe vibao Vya kutosha na akusanye virago aondoke muda huo huo bila nauli.

Mke wako angekuheshimu Sasa hapo anaona kumbe ni weak kuamua atakudharsu na kukufsnyia vitimbi Hadi utakapo chukua uamuzi wa kiume kwa maswala kama haya.

Hutakiwi kumchekea au KUMWACHA mwanamke anapokosea. Mpe maumivu ,maumivu ndiyo mwalimu mzuri kwa wanawake.
 
Wewe jamaa ni Mseeeeeng.....

Aisee mimi ninaonekana mkoloni na sina hata tsh wala hilo gari unaloliongelea.

Mapenzi hayawezi kunifikisha level hizo bora niwe single walaai..

Umenikera na nimesoma kwa Hasira.

Manina... mwanaume changamka broo au umewekewa limbwata.

Hadi nashindwa kuandika.

Huu ni upumbavu labda kama hela za huyo malaya wako mwenye dharau.
 
Huvi, huwa mnaoa kutafta nini wakati wanawake wa kutom wako wengi namna hii! Yaani kwa nini ulioa!
 
Una elements za ushoga walai kama ni kweli
 

Wanaume tu wachache sana, hauna msimamo, mwanamke hawezi kukujibu hivyo. Kwa viwango vyangu ningefukuza mdogo, na kumpa likizo mke arudi kwao wakamfunze.

Hao watakuja kukuua kimasihara, wanakulia timing, hiyo kauli ya talaka na kugawana Mali sio ya mdogo wako, ni mijadala yao ya kila siku.

Nahisi pia there is another side of the story, unaweza pia kukuta wewe ni mchoyo na mnafiki kama dogo anavyosema and so you can judge yourself.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…