fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
We unajiona upo sahihi bro?Hahahahahah
Omba yasikukute broo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unajiona upo sahihi bro?Hahahahahah
Omba yasikukute broo
Ukimpeleka kwao akirudi anakuua, atakua kashasuka mipango swafi na Idea kama zote, Familia ishampa sumu za Kutosha akirudi huchukui raundi tunamuimbia muhuniHiyo biashara ishaanza kumtia kiburi mkeo,fukuza huyo shemeji hapo nyumbani kwako,mkeo mpeleke akapumzike kwao kwa muda usiojulikana,dukani weka mtu japo risk mpaka utakapoamua arudi,na atakaporudi hilo duka usimpe madaraka kama ni duka lake iwe tu kama msimamizi
Kiufupi ni wachache mnoo wanaofuata izo sheria za ndoa ila % kubwa hawafuati izo sheria ndio maana unamuona Bugatti kila leo anafunga ndoaHayo unayo yaongea ni endapo huyo mke akaamua yaishe kidini lakini akihitaji sheria inayo mlinda yeye itumike hata akangekuwa ana lala msikitini sheria ya ndoa itatumika kama inavyo tumika kwa yeyote yule
Hkn mtu Happ nina wasiwas ila ngoja tuone mrejesho utakakuja nao ndio nitakuaminiaKaka amentukana asee jana hiyo usiku...
Leo kila nikitaka andika huu uzi nashindwa asee.
Nawaza mpaka mushipa ya dam na hisi inataka kupasuka.
Huenda hii chai??, mbona una furaha Jambo kukuvua uanaume wako??, pili unaonekana mdhaifu kwa mkeo kwa sababu umekomaa kumrudisha shemejio Ila mke unakwepakwepa, kama kweli ipo siku utalia machozi na hata hutawahi pata nguvu ya kuomba ushauri humu, coz utajijua kumbe uanaume wako una mapungufu, hongera mkuu endelea kumpenda mkeoHahahahahah
Omba yasikukute broo
Mungu ana mambo mengi ya kufanya! Hilo suala ni dogo tu anaweza kulimaliza mwenyewe akisimama kama mwanaume aliyeenda Jandoni.Pole mnama
Uyo binti afungashe virago na mkeo mweke chini atambue nini maana ya familia
Kuna namna anakuchukulia poa punguza kumdekeza kuwa mtu wakutoa mamlaka
Ukumbuke kusali pia
Ungewapa likizobwote na mkeo.Wakuu naomba ushauri
Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu nilio tafuta pamoja na mkewangu.
Baada ya Graduate kumaliza chuo mwaka huu mkewangu aliniomba aje mdogo wake kuishi nasi pamoja.
Sasa baada ya kipindi kupita mkewangu ameonesha ukaribu sana na mdogo wake ikafika mpaka kumueleza mengi juu ya maisha yetu ndani.
Kisa:Jana nlienda Dukan kwetu na mkewangu (Duka la vipodozi)
Lengo kumfuata shem na kupiga hesabu na kufunga duka.Dakika chache mkewangu alipokea simu kutoka kwa baba yake mazazi akimuomba aje aishi nyumbani kwangu.Walikubaliana wao yeye na baba yake mzazi akiwa na mdogo wake na hata akaamua kumtumia nauli bila ya mimi kuhusishwa chochote.
Ikumbukwe yote haya yanafanyika Dukani tukiwa wote watatu i mean mimi mkewangu na shemeji.
Baada ya hili zoezi kuisha ndipo mkewangu ananieleza "kuwa baba atakuja kesho na nimesha mtumia na nauli"
Mi nika mjibu kwa njia ya meseji ya simu, "una nambia ama una nipa taarifa"
Baada ya hii kauli alinuna na kukasirika sana na kuamua kuongea kikuria yeye na mdogo wake (Mi mchaga) mi hapo sielewi kitu ila Nyuso zao nikama wamefura kwa hasira.
Dada mtu aliamua kurudi nyumbani kwa pik pik mdogo mtu ( shemeji) alibaki Dukani na kufunga hesabu. Baada ya muda kidogo niliwasha gari na kuelekea nyumbani
Nilipo fika nyumbani sasa
Nikamuuliza mkewangu kwanini umekasirika kwa maseji kama ile angali sija andika tusi..?
Ailinijibu we niache kwanza usha mzika baba yako hivyo huna chakupoteza.
Mimi nikamwambia taswira kama hiyo unanijengea picha mbaya kwa mdogo wako maana yanayo ongeleka ni mengi sana hasa Juu ya mimi na wewe.
Maana unayo mueleza nduguyo huwaleza hata watu wa karibu. Dah baada ya kusema hivyo akampigia simu mdogo wake nakumwambia shemeji yako anasema wewe huwa una muongelea vibaya hapo dukani kwa watu wake wakaribu.Alifunga duka na
akarudi nyumbani speed ya Jet na kunikuta seblen nimekaa naperuzi Jf.
Kwanza alipo fika tuu nyumbani aligonga mlango kwanguvu sana as if kuna mtu ana tuvamia.
Alipo timba seblen akaanza kwa kusema
Ili kuwaje mkanizungumzia mimi na hao marafiki (majirani wa dukani) zako...???
"Alafu shemeji unajua wewe ni mnafiki sana"
"Unazani matendo yako kwa dada siyaoni humu ndani"
"Ujue shemeji wewe una roho mbaya sana"
"Naishi na wewe kwa kukuvumilia sana"
Nlisha kudharau sana.
He he..he
He...!!! Nlibaki na shangaa sanaa kwanza ni mtoto mdogo sana kwangu niwa mwaka 98.
Mwisho akasema bhanaa eeh kama vipi andika talaka kwa mkeo mgawane mlivyo chuma kila mtu asepe zake (shemeji huyo)
Hata dada yake hakuwahu kutamka maneno kama haya asee.
Wakuu mi nimeamua asepe kwao ifikapo J3 ya trh 17 Oct.
Japo wife anakuwa kama anajiuliza sana haya maamuzi yangu.
Pia msaada tafadhali maana namawazo sana kuhusu huyu dogo mwenye Degree ya biashara.
Alafu pia ndugu lakini sina namna.
Nawasilisha.
Alipaswa amlime kelebu kabisa.Mbona ni kama ww ndo umeolewa...hao kina mura watakunyoosha mpaka ukome.....mtoto wa 98 anakutukana afu unamwachia kirahisirahisi
Ila umefanya vzr ujampiga mtot wa mtu ila ungesima katk uwanaume kuwa huyo bint leo aondoke pale wakt uanfanya namna Bora ya kuachna na mke wakoKaka shida watoto wa watu.
Utalipishwa gharama za matibabu bure.
Utaangaika na haki ni ya kwako.
Uko sahih kbsa awamshe alfu awatetemeshe Hadi asbh wasema kusudio lao Ni nn uko sahih sanaAnzisha moto sasa ivi amsha wote kama wamelala weka kikao sebreni wavimbie kiume nguruma, mind kasirika waambie kabisa jambo lililotokea linakunyima usingizi haiwezekani upuuzi kama huo utokee alafu ukawa kimya tu ndo maana wanakuchukulia poa
Unawezaje kulala Kmmk piga biti umo ndani huu ndo muda mzuri au subir ifike saa 7 night amsha wote wape attention moja yakibabe
Apo si nyumbani kwako onesha uanaume isitoshe hata kutombewa unatombewa sana tu we jamaa
Safi San financial accontant halfu unaendeleaje na CPA ?Shemeji kazingua unamtukanaje mume wa dada? Means umemshusha thamani hata dada pia, ungekapiga makofi 2 3 akili imkae sawa. Aende home kwao tu
Wee una akili Sana [emoji38]Pole sana, angekua mdogo wangu anitukanie mume aki ningemnyoa nywele[emoji3]