Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Hii tamaa ya kugawa mali baada kuachana kwa wanadoa ni kwa upande wa wakristo tu kwa waislamu hukuti huu upumbavu na mtoa mada inaonekanan ilo jambo la kugawana mali limekushtua san na uyo shemeg yako hajaongea ivo kwa bahat mbay huo ndo mkakati walionao yey na dada yake la kufanya fukuza uyo shemeg mtu ata kesh asubuh mpem san na mpige stop baba mkwe abaki uko uko kwake na kaa chini na mke umueleweshe kuwa wew ndie mkuu wa kaya
Amina hapa umenena sana broo
 
Mimi ni muajiriwa...
Vipodozi duka tuu kwa ajili ya pesa home za bili na chakula basi.
Tafuta mteja taifisha hilo duka. Au tafuta binti mtiifu weka hapo dukani. Huyo mwanamke peleka kwao. Akisema muuze nyumba mwambie atafute mteja akija akitaja bei akiikubali airisha mauziano kile kiasi nusu mtafutie mpatie cash mkononi. Mwambie atambae kwao.


Maisha yaendelee na mtu mpya.
 
Pole kaka, naona unasema unajuta kuoa Mkurya. Mimi ni Mkurya hatuko hivyo, tuna mapenzi ya kweli na kuheshimu waume. Huyo uliyemuoa na mdogo ake, ni jinsi walivyolelewa tu kwao.

Pia punguza upole, simama kama mwanaume, kama baba, kama mume katika ndoa na nyumba yako. Hao ndugu zangu vimeo, peleka wote kwao wakashike adabu kwanza.
 
Wazee wengine bana sijui wamekulia familia za vipi. Yaani hawana uti wa mgongo wa kiume kabisa.

Kuna koo mkwe kwanza akija kwako ni kachungulia juu juu na kusepa. Ila sio kukaa hapo hapo na kuweka Kambi.
Yaani mpaka najiuliza asee...???
 
Ingekuwa mimi huyo binti angepata maumivu makali halafu yeye na dada yake wangelala stendi kwa safari mapema asubuhi.
Mkuu baada ya kumalizia kusoma uzi wake nilijawa na hasira, mshangao na kujiuliza huyu kweli ndio mwanaume wa familia? Tena anaomba ushauri wa jambo ambalo alipaswa kwanza awaoneshe uwanaume wake wote mle ndani yaani dogo na dadaake? Kwakusoma ujumbe wako kidogo nimefarijika kuwa kumbe WANAUME HALISI BADO TUPO.
 
Anzisha moto sasa ivi amsha wote kama wamelala weka kikao sebreni wavimbie kiume nguruma, mind kasirika waambie kabisa jambo lililotokea linakunyima usingizi haiwezekani upuuzi kama huo utokee alafu ukawa kimya tu ndo maana wanakuchukulia poa

Unawezaje kulala Kmmk piga biti umo ndani huu ndo muda mzuri au subir ifike saa 7 night amsha wote wape attention moja yakibabe

Apo si nyumbani kwako onesha uanaume isitoshe hata kutombewa unatombewa sana tu we jamaa
Hizi swaga ninazo sana kakaa...
Sema kwa hili nipigo la kufikirika kwa upana zaidi.

Maana unaweza uzwa ukiwa humu humu ndani
 
Mimi huwa naitwa mkorofi bila sababu za msingi. Kwa mfano ningekuwa mimi ndio wewe huyo binti asingelala ndani usiku huo. Jinsi ulivyo mvumilivu umesema eti aondoke Jumatatu
Aondoke Jumatatu, hiyo kesho wanashondaje hapo nyumbani na mtu anauekudharau na dadaake?

Kweli kwenye miti hapakosi wajenzi😤
 
Mkuu baada ya kumalizia kusoma uzi wake nilijawa na hasira, mshangao na kujiuliza huyu kweli ndio mwanaume wa familia? Tena anaomba ushauri wa jambo ambalo alipaswa kwanza awaoneshe uwanaume wake wote mle ndani yaani dogo na dadaake? Kwakusoma ujumbe wako kidogo nimefarijika kuwa kumbe WANAUME HALISI BADO TUPO.
Jamaa kaaibisha uanaume wake. Hilo sio jambo la kuja kuandika jf.
 
Naona mipaka baina ya familia yako na yao hakuna.
mke anaamua analojiskia then ww unapewa tu taarifa..
Kuwa mwanaume.
Yaani shemeji mtu anatoa maneno mazito hvyo huyo ndoa itakuja mshinda mapema sana. Halafu inaonyesha wakiwa wawili kuna ujinga mwingi sana wanakuzungumzia na mkeo kupewa kichwa.
Yaani toka amefika humu ndani yeye na mkewangu wao wako pamoja kila sehem.

Na hakika wanayo zungumza na kupanga ni mengi zaidi.
 
Back
Top Bottom