Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

Kwa hiyo coincidence huna haja ya kuomba ushauri hata kwa wazee wa busara.

Mwanamke anapowekwa ndani tena kwa ridhaa ya wazazi wake means kauza sehemu KUBWA ya uhuru wake plus wazazi wake nao wametoa sehemu kuwa ya maamuzi juu ya binti yao na kukukabidhi wewe.

Lazima uwe mkakamavu kwenye familia

Usikubali unyonge kuanzia ukweni mpka ndani ya familia yako.

Huyo shemeji hapo hapo ndio ingekua red card yake.

Na mzee akija kaa nae umwambie kwako utamaduni wako nyumbani hawezi mwanamke kufanya maamuzi bila baraka zako kama mzee mtambuzi ataelewa ila akiwa mpumbavu atavuta mdomo.

Haya yote hakikisha hauishi au hutegemei nyumba ya wife au kipato chake kinakuweka mjini huu ushauri si mzuri kwako.

Kuwa aggressive ni LAZIMA
 
Hicho alichokizungumza huyo binti ndio mpango mkakati walioupanga na dada yake.......hapo amekufikishia tu ujumbe ingawa amewahi kabla mipango haijakamilka........

Kuanzia sasa aanza kuishi kwa machale maana lolote linaweza kutokea Kwa wakati wowote......
 
Dah nakosa hata cha kucoment, sema shida inaanzia hapa mlijenga nyumba kwa pamoja na wanajua fika huezi kuachana nae maana unahofia mtagawana mali.

My take; sioi mpaka nijikamilishe mambo yangu ya msingi nyumba, chakula, mavazi na usafiri, ili nikikutana na dhahama kama hii ning'oe toto la mtu meno, kwanza nimesahau sioi ng'oo
Marriage is a scam
😂😂😂😂Ukiwa na nyumba yako hawezi kuleta zengwe maana ataondok kama alivyokuja
 
Mkuu hilo kabila huwa hawapendeki kwa style unayoitumia ! Ungeoa tanga au zanzibar ningekuelewa !! Hili kabila ukiwatandika vibao ndo unakua Romantic !!

Kwanza mke inaonekana ndo ana sauti ndani kuliko wewe ! Kampa mdogo wake ujasiri !! Pia anakaribishaje mgeni wakati wewe na yeye hamjaongea !
Lamba vibao wote kwanza au waondoke kwa muda !!
Asante sana kakaa
 
Back
Top Bottom