Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 433
Acha wivu ,mbona hujawatumia hata jero kijijini?Naona Wahuni wanajichanganya wenyewe mtanzania akili ku mkichwa watumieni hizo buku hata mama zenu vijijini huko
Mi nimezaliwa hapa hapa sina kijiji hata nikifa nitazikwa makaburi ya KisutuAcha wivu ,mbona hujawatumia hata jero kijijini?
Huu ni ushamba kudhani kila mama wa watanzania wote wapo vijijini?Naona Wahuni wanajichanganya wenyewe mtanzania akili ku mkichwa watumieni hizo buku hata mama zenu vijijini huko
Tuma pesa hizo Iringa huko hapa tunajuana tegula a mapesa igo kwa va vaha vako😂😂😂😂Huu ni ushamba kudhani kila mama wa watanzania wote wapo vijijini?
Kwa kuwa wewe unatoka kijijini unadhani mama wa watanzania wote wapo vijijini.
Naona Wahuni wanajichanganya wenyewe mtanzania akili ku mkichwa watumieni hizo buku hata mama zenu vijijini huko
Ripoti ya CAG bado haijatoka Nyumbu endelea kufuatilia ni hivi karibuni naina inatokaga tarehe 30 March kila mwaka
Ilishatoka na haikujadiliwa, ikitoka ya safari hii itakuta kipori cha kujadiliwa, huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Ule upuuzi ulileta hapa jana umeonyeshwa hizo hazikuwa pesa zilizoratibiwa na cdm, bali ni michango binafsi isiyo na uhusiano na taasisi. Rudini ofisini mkatafute jingine dhidi ya cdm, hilo limebuma.Ripoti ya CAG bado haijatoka Nyumbu endelea kufuatilia ni hivi karibuni naina inatokaga tarehe 30 March kila mwaka
Kwenye Mambo Ya Auditing huko ndo nilikobobea sasa mambo ya Qualified and Unqualified report mambo ya Adverse report huko mimi ndo mbaya zaidi nikiona Financial statements tuu najua upigaji uko sehemu gani?Ilishatoka na haikujadiliwa, ikitoka ya safari hii itakuta kipori cha kujadiliwa, huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Ule upuuzi ulileta hapa jana umeonyeshwa hizo hazikuwa pesa zilizoratibiwa na cdm, bali ni michango binafsi isiyo na uhusiano na taasisi. Rudini ofisini mkatafute jingine dhidi ya cdm, hilo limebuma.
So what?Kwenye Mambo Ya Auditing huko ndo nilikobobea sasa mambo ya Qualified and Unqualified report mambo ya Adverse report huko mimi ndo mbaya zaidi nikiona Financial statements tuu najua upigaji uko sehemu gani?
Unajua hiyo ripoti ni ya lini hata useme haijatokea?Ripoti ya CAG bado haijatoka Nyumbu endelea kufuatilia ni hivi karibuni naina inatokaga tarehe 30 March kila mwaka
If you can’t grant me your ass just respect meSo what?
Sawa 🌈If you can’t grant me your ass just respect me
Hivi kuna tatizo gani na mtu kutoka kijijini, au kuwa Kisutu!Huu ni ushamba kudhani kila mama wa watanzania wote wapo vijijini?
Kwa kuwa wewe unatoka kijijini unadhani mama wa watanzania wote wapo vijijini.
Kwa hiyo mnaiga