mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
unifundishe namna ya kutumia fedha zangu?Naona Wahuni wanajichanganya wenyewe mtanzania akili ku mkichwa watumieni hizo buku hata mama zenu vijijini huko
Nitafute pesa mimi, wewe uwe Mwalimu wa kunifundisha namna ya kutumia pesa? Tena ni zangu?
Maccm mnakwama wapi?