Mdogo wa Tundu Lissu atolea ufafanuzi wa sakata la upigaji wa fedha za michango ya Lissu

Naona Wahuni wanajichanganya wenyewe mtanzania akili ku mkichwa watumieni hizo buku hata mama zenu vijijini huko
unifundishe namna ya kutumia fedha zangu?

Nitafute pesa mimi, wewe uwe Mwalimu wa kunifundisha namna ya kutumia pesa? Tena ni zangu?

Maccm mnakwama wapi?
 
Kwenye Mambo Ya Auditing huko ndo nilikobobea sasa mambo ya Qualified and Unqualified report mambo ya Adverse report huko mimi ndo mbaya zaidi nikiona Financial statements tuu najua upigaji uko sehemu gani?
Yana faida gani sasa hayo mavyeti kma ufisadi upo kila idara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…