Uchaguzi 2020 Mdogo wangu amenidharau kisa kusema sitamchagua Lissu

Heshima kwako mwana Fasihi kazi nzuri sana.
Unaandika makala Nzuri sana.

Wenye ufahamu tunaelewa.
 
Ukiona dogo wako.anakudharau basi unue kuna mapungufu uko nayo, hata kama huna uwezo kifedha bali haki yako ya kuheshimika bado ipo lazima akuheshimu

Pamoja na msimamo wako lakini jaribu kumuonya huyo dogo awe na nidhamu na sio tabia ya bavicha ya kutoheshimu wakubwa.
 
CDM mnajiuliza na kujijibu wenyewe?. Endelea kutunga facihi.
 
Kiukweli dogo amekudharau sanaaa Kama vp vunja undugu.
 
Amefanya vzr kukupuuza....... Ningekua mm ningekukata kibao cha haja
 
Huyo dogo mchunguze vizuri. Atakua kaanza kale kamchezo ka jinsia moja kanakotetewa na Lissu
 
Angalia usije ukafa wewe!
Maana inaonekana dogo ana elimu kitaa.
 
Hongera sana mkuu kwa kukataa ushoga,utumwa na wizi wa raslimali za nchi yako na umwagikaji damu hovyo unaopangwa na huyu adui wa maendeleo ya nchi yetu.

Ukimkataa lissu umekataa yote hayo,mchague jpm kwa maendeleo na amani ya nchi yako,Mungu akubariki sana
 
Pole bro dogo anafikiri dili ndio sera za maendeleo. Anachotakiwa kujua ni kubadili upepo kufanya shughuli kisheria ili nchi ipate maendeleo sio kufikiria mambo kimaslahi tu.
 
Asee wee Chali hata mimi nimekudharau kinoma, hufai kuwa braza kabisa ..kama una mke na makid asee chali angu utakuwa umezingua kinoma. Wewe hufai kuwa kaka sa ukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…