Uchaguzi 2020 Mdogo wangu amenidharau kisa kusema sitamchagua Lissu

Amekuzereu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Namuelewa sana huyo mdogo wako ambaye ni wewe mwenyewe!
 
Nyoka wa kijani ni mpenda maendeleo, ila usimchokoze bila sababu
 
Sasa kama familia mmefikia huko,nyie gombaneni tu maadui zenu wafaidi,ujinga huu.
 

Sio mdogo wako tu hata MBWA wako amekudharau hebu msogelee uone kama hatakuuma Leo. Paka jike Wewe
 
Kumchagua msaliti wa Nchi ni kujitakia majanga
 
Hata Mimi nimekudharau
 
Binafsi mwandishi nimekuelewa Sana mkuu,hongera kwa uandishi uliotukuka.
 
Tatizo wewe naye ueleweki ulikuja na uzi hapa ukasema hautamchagua Magufuli

Leo tena unasema hautamchagua Tundu Lissu

Au wewe ndio Membe? Au wewe ni Magufuli unakuja hapa kupima upepo?

Kwa tunaojielewa mwaka huu kura zote ni kwa Lissu.
Huyu ni mwanafasihi, kama hujamuelewa nenda shule.
 
Vijana wadogo waliokuwa wakifurika mikutano yake hawako vituo vya kupiga kura .Vituo vimejaa watu wazima tu
Vijana wamepiga asubuhi na mapema vituo vilipofunguliwa tu! Ulitaka wakae kituoni? Sasa hivi wako kwenye mishemishe zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…