Mdogo wangu ameomba kazi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kama Aircraft Marshall

Mdogo wangu ameomba kazi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kama Aircraft Marshall

Goodhope078

Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
72
Reaction score
23
Jamani khabari za uzima!?

Kwanza nipende kupeni pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa.

Ndugu zangu naombeni msaada kuna mdogo angu ameomba kazi mamlaka ya viwanja vya ndege kama aircraft Marshall.

Lakini nikiangalia majina yanayota ya wanaoitwa kwenye usaili ni tasisi zingine tu kama kuna mtu anaweza kuwa taarifa yoyote naomba tafadhali.
 
Back
Top Bottom