Mdogo wangu anahitaji mpenzi

Babu yangu anahitaji mke,, tuwasiliane Prime Minister.
 
hongera sana. Umepata. nina hizo sifa zoote.njoo huku tuyajenge
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli Achia Kidogo Mzee
 
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm.
sifa;
  • Asiwe mvaa milegezo
  • Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
  • Asiwe mlevi
  • Asiwe muhuni.
Hizo sina taja sifa unazotaka
 
Kama upo tayari kuishi na mm njoo pm tujuane zaidi ila kukuoa mpk ufikishe 25
 
Kuna bikra ya 22yrs old?
Naamini ni watoto wadogo tu chini ya 5yrs old.!
 
"Malaya wa Viwango wako Bongo Movie" nukuu ya Nay wa Mitego.
 
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm.
sifa;
  • Asiwe mvaa milegezo
  • Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
  • Asiwe mlevi
  • Asiwe muhuni.
Vipi wasifu wake wa sasa! Ana watoto wangapi? Ameolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…