Mdogo wangu anahitaji mpenzi

Mdogo wangu anahitaji mpenzi

Babu yangu anahitaji mke,, tuwasiliane Prime Minister.
 
hongera sana. Umepata. nina hizo sifa zoote.njoo huku tuyajenge
 
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm.
sifa;
  • Asiwe mvaa milegezo
  • Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
  • Asiwe mlevi
  • Asiwe muhuni.
Hizo sina taja sifa unazotaka
 
Kama upo tayari kuishi na mm njoo pm tujuane zaidi ila kukuoa mpk ufikishe 25
 
Kuna bikra ya 22yrs old?
Naamini ni watoto wadogo tu chini ya 5yrs old.!
 
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm.
sifa;
  • Asiwe mvaa milegezo
  • Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
  • Asiwe mlevi
  • Asiwe muhuni.
Vipi wasifu wake wa sasa! Ana watoto wangapi? Ameolewa?
 
Back
Top Bottom