Mdogo wangu anahitaji mpenzi

Mdogo wangu anahitaji mpenzi

salaaaaaleeeee kumbe huwenda ni kakigoli haka ka mwana dada

hebu ngoja kwanza
IMG_20180415_142515_976.JPG
 
kwasababu umri wake kwenye hii mada ni sawa na umri kwenye ile mada
 
mpooo? mdogo wangu amemaliza chuo,ana miaka 22 bado bikra,anahitaji mpenzi sio wa kumchezea,yupo dar. pls kama huna nia usi pm.
sifa;
.asiwe mvaa milegezo
.asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
.asiwe mlevi
.asiwe muhuni.
Mimi nataka urafiki
 
Njoo pm moja kwa moja kwa niaba ya huyo mdogo wako.
 
I wish nikuje PM..... ila ninachokiona hapa, wewe na mdogo wako wote ni mapepe tu
 
Kama hutaki hizo sifa itakuwa ngumu sana kwa vijana wa kileo [emoji16]
 
Back
Top Bottom