Mdogo wangu anahitaji mpenzi

Mdogo wangu anahitaji mpenzi

Mpe bwana ako we ndio utafute, au wa kwako ndio anasifa hizo za milegezo nk
 
Sidhani kama Jf kuna wavaa milegezo.
Ila wanywaji&wavutaji tupo.
 
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm.
sifa;
  • Asiwe mvaa milegezo
  • Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
  • Asiwe mlevi
  • Asiwe muhuni.
Nam
 
Mdogo wako au wewe paulina ? Anahitaj mtu wa miaka mingapi?
 
Kuna mdogo wangu na mimi anahitaji mchumba....sifa asiwe mlevi wala muhuni...njoo pm. Tuwakutanishe
 
Haya Dada, nipo Arusha nna hzo sfa km za mdogo wako, vp nigei # yake nimcheck tuyajenge
 
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm.
sifa;
  • Asiwe mvaa milegezo
  • Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
  • Asiwe mlevi
  • Asiwe muhuni.
Usisumbuke nipo apa pm chap
 
Mdogo'ako hawezi kuwa Mtoro ndani maana age hii inasumbua..
 
Mpooo? Mdogo wangu amemaliza chuo, ana miaka 22 bado bikra, anahitaji mpenzi sio wa kumchezea, yupo Dar. Pls kama huna nia usi pm.
sifa;
  • Asiwe mvaa milegezo
  • Asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
  • Asiwe mlevi
  • Asiwe muhuni.
Ukitoa kuvaa mlegezo zingine zote nizangu hasa umalaya ulevi na fegi, yaani niko advanced, so niko tayari. Na additionally mwambie nina sifa ya kubonda sana kama yeye anakuwa kichwa panzi au pasua kichwa
 
Back
Top Bottom