MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Mar 20, 2012 #21 Dooh mwambiehuyo dogo akae mbali na shemeji yake. Huo si ustaraabu kabisa, hapaswi kuongea issue zinzokuhusu wewe especially kama not pleasing on your absent. Kama ni ukweli ni wewe wa kumpa na sio yeye.
Dooh mwambiehuyo dogo akae mbali na shemeji yake. Huo si ustaraabu kabisa, hapaswi kuongea issue zinzokuhusu wewe especially kama not pleasing on your absent. Kama ni ukweli ni wewe wa kumpa na sio yeye.
kande kavu JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 234 Reaction score 88 Mar 20, 2012 #22 HorsePower said: Kifulambute hii avatar yako sijaipata vizuri, Khaaa! Click to expand... Ndo maana kaja na wazo la mfunue. Mkuu hizi avatar kwa kiasi kikubwa zinawakilisha eneo fulani la akili na maisha yetu.
HorsePower said: Kifulambute hii avatar yako sijaipata vizuri, Khaaa! Click to expand... Ndo maana kaja na wazo la mfunue. Mkuu hizi avatar kwa kiasi kikubwa zinawakilisha eneo fulani la akili na maisha yetu.
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,332 Mar 20, 2012 #23 huyo wa kuchapa vibao tu nadhani atanyamaza