Mdogo wangu ananifunulia mchumba'angu!

Mdogo wangu ananifunulia mchumba'angu!

Dooh mwambiehuyo dogo akae mbali na shemeji yake. Huo si ustaraabu kabisa, hapaswi kuongea issue zinzokuhusu wewe especially kama not pleasing on your absent. Kama ni ukweli ni wewe wa kumpa na sio yeye.
 
huyo wa kuchapa vibao tu nadhani atanyamaza
 
Back
Top Bottom