Huyo mdogo wako kiazi, alipaswa kusoma PCB au CBG maana ndio combination alizofaulu sana, sasa ameenda kusoma HGE na D yake history "this is foolishness"
Acha ujinga wewe, Kupata C ya phy sio kujua phy, pia Kupata D ya Hist sio kutokujua Hist, Kuna jamaa zangu walipata BBC Kwenye Phy, Bio na Chem lakini Form6 walilamba mchanga wa 4 mbovu na PCB zao.