Mdogo wangu anatafuta kazi ya Maabara maeneo ya Dodoma

Mdogo wangu anatafuta kazi ya Maabara maeneo ya Dodoma

kante mp2025

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
631
Reaction score
1,192
Mdogo wangu kamaliza chuo mwaka 2021 kasomea mambo ya Maabara za Hospitali na anayo leseni hai kabisa kwa sasa anapatikana Dodoma.

Anaomba kazi ya maabara za hospitali kwa mkoa wa Dodoma.

Natanguliza shukrani nduguzanguni.
 
Mwambie ajiunge jf, ajiandikie cv vizurr. Watu wa vitengo wapo humu.
 
Back
Top Bottom