Mdogo wangu anatafuta mchumba

Mdogo wangu anatafuta mchumba

Queen Latifah

Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
29
Reaction score
61
Mambo zenu,nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo na anatafuta mtu serious
He is 24 black and tall
Hii ni kwa wadada tu I want to do him a favor
Pm me if interested
 
Kwa huo umri wachumba zake bado shule, anawahi nini asubirie kidogo at least 27 au 28 huo umri baadaye ndiyo wachepukaji
 
Mambo zenu,nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo na anatafuta mtu serious
He is 24 black and tall
Hii ni kwa wadada tu I want to do him a favor
Pm me if interested
Nipe no zako nikufanyie michakato[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chuo kuna mademu wengi tu wakujileta wewe unajiongeza amekosa hata huku aseh Chuo mademu hadi unawakimbia hakuona demu huko kweli duh dub
 
mbona kama mwandiko wa kiume[emoji23][emoji23][emoji23]isije ikawa umeingia kwa id ya dada ako kujipigia chapuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko chuo hakuona mwanamke wa kuwa nae, na Ina maana hajawahi kufanya mapenzi kuwa bado bikra eeeh
 
Back
Top Bottom