Mdogo wangu (Family friend), kanipa penzi najiona nimekolea

Kanuni ni moja mwanamke akijafanya anajua show wew kata feelings na usitumie nguvu(weka powersavingMode_lakn muonyesh mpo pamoja) after a while yeye ana break session wew unalianzisha , una turn table hapo hatochomoka hadi auombee pooo
 
Na mdogo wako wa kike analiwa hivyohivyo hiyo ni equillibrium
 
Kanuni ni moja mwanamke akijafanya anajua show wew kata feelings na usitumie nguvu(weka powersavingMode_lakn muonyesh mpo pamoja) after a while yeye ana break session wew unalianzisha , una turn table hapo hatochomoka hadi auombee pooo
Hii inaitwa unamtanguliza na baiskeli ya miti...
Wakati wewe una phoenix... yeye anakata moto, wewe ndio kwanzaaa unalianzisha.
 
Halafu unatuambia dadako kwa kuwa umewahi kukaa kwao? Je dadako mwenyewe angekufanyia hayo ungemwacha? Ungeyandika katika jukwaa hili? Umekosea
 
Halafu unatuambia dadako kwa kuwa umewahi kukaa kwao? Je dadako mwenyewe angekufanyia hayo ungemwacha? Ungeyandika katika jukwaa hili? Umekosea
Asingenifanyia mimi angewafanyia majamaa wengine na wasingemuacha. Maisha hayako serious hivyo mkuu.
 

Si tayari ameshakutunuku mara 2 mkuu, achana nae endelea na maisha yako.
 
Acha ufala, binti anayechungwa anaweza kukufuck na baadae akwambie usicatch feelings!!! Huyo binti ni mzoefu anapenda sex, analiwa na wahuni huko chuo, amecheza na akili yako na ulivyo boya umecatch feelings kweli, atakupelekesha huyo hadi uchanganyikiwe ila HAKUPENDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…