MEGATRONE
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 1,443
- 2,564
Jamaa anaonekana bado mgeni jijini!Acha ufala, binti anayechungwa anaweza kukufuck na baadae akwambie usicatch feelings!!! Huyo binti ni mzoefu anapenda sex, analiwa na wahuni huko chuo, amecheza na akili yako na ulivyo boya umecatch feelings kweli, atakupelekesha huyo hadi uchanganyikiwe ila HAKUPENDI.