Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa ati "walkup call"Pathetic!.
Kurasa hizo zimesajiliwa kwa jina la Gerson Msigwa, na siyo kwa jina la Jamhuri wala serikali.
Ni kurasa binafsi ambazo atahitaji kuzitumia kadri anavyoona yeye inafaa. Ilimradi tu havunji sheria wala kumkosea yetote heshima.
Kuna kurasa maalum za Ikulu mawasiliano, Msemaji Mkuu wa Serikali. Hizo ndizo kurasa maalum zinazotoa taarifa za utekelezaji na mambo mengine.
PS: Jaribu kutumia lugha unayoijua vema.
Sijaona shida hapo acheni kupangia watu maishaBinafsi namuona huyu jamaa toka Magu afariki ni kama nae hayuko sawa hivi, vitu anavyopost ni utoto mtupu.haviendani na mtu mwenye hadhi yake kabisa.
View attachment 2051979
View attachment 2051980
View attachment 2051981
View attachment 2051982
Inashangaza kwa kweliTatizo wajinga ni wengi; [emoji88]
Yuko kwenye pipeline ya kupasuliwaHawana pa kumuweka.....basi tu wafanyeje
Hivi ulishaona vitu anavyo post Tulia Ackson sijui utalalamika kiasi gani, haya mambo tuwaachie wenyewe ni mambo binafsi na sioni kama yanavuruga utandeji wao wa kazi na account ni binafsi hatutakiwi kuwapangia cha kupostBinafsi namuona huyu jamaa toka Magu afariki ni kama nae hayuko sawa hivi, vitu anavyopost ni utoto mtupu.haviendani na mtu mwenye hadhi yake kabisa.
View attachment 2051979
View attachment 2051980
View attachment 2051981
View attachment 2051982
Hebu muangalie Tulia AcksonDaaah msigwa nowdays chenga Sana wazee....!! Tangu Jiwe akate Moto naona kama mshikaj hayuko Sawa hv..iwe ni personal accnt au gvrt mambo ya udaku anayopost ni irrelevant kabisa Kwa jamii iliyostarabika na mbaya zaidi hadhi aliyo nayo...!!
Ugali umemchosha.Nadhani Gerson Msigwa anaomba mama afuatilie kuona kama anafaa au amteme. Mambo anayopost Msigwa siyo mambo yakupamba kurasa za watu wa kariba yake. Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii unasave purpose yake binafsi na Serikali pia.
Account yake inategemewa kuendelea kuitangaza Nchi, kumbuka akaunti hizi ndizo zilizotumika akiwa msemaji Mkuu au Mkurugenzi Mkuu mawasiliano ya Rais .Means hata baada ya kuachia hiyo nafasi Bado akaunti yake inawafuasi.
Kosa analofanya,may be he is frastrated ni kutumia akaunti yake kupost 90% ya personal issues na 10% mambo ya Serikali.
Niombe tupitie account zake Tuone anachofanya ndicho alichotumwa na Mhe. Rais? Naamini wapo watu wake wa karibu wanakereka na wamekaa kimya wanasubiri atumbuliwe waanze kusema tulijua TU.
My brother, at your age and at that post your freedom is much occopied by public responsibility more than personal matters; don't wait for more walkup call , change: Behave and post at your character age.
All the best my brother,
Wote wale wale tuHivi ulishaona vitu anavyo post Tulia Ackson sijui utalalamika kiasi gani, haya mambo tuwaachie wenyewe ni mambo binafsi na sioni kama yanavuruga utandeji wao wa kazi na account ni binafsi hatutakiwi kuwapangia cha kupost