Mdogo wangu Gerson Msigwa, iheshimishe ofisi uliyopewa...tumia mitandao Kwa maslahi mapana ya utumishi

Yule ashasomwa amejulikana soon atarudishwa Songea. Kutolewa Ikulu kumefanya anune
 
Hahaa ati "walkup call"
 
Mimi sijaona shida ya anacho post kibaya, kumbuka Ile ni account personal ya kwake na vingi anavyo post ni vya kawaida kabisa havina ubaya, hapo umemsagia kunguni bila sababu
 
Daaah msigwa nowdays chenga Sana wazee....!! Tangu Jiwe akate Moto naona kama mshikaj hayuko Sawa hv..iwe ni personal accnt au gvrt mambo ya udaku anayopost ni irrelevant kabisa Kwa jamii iliyostarabika na mbaya zaidi hadhi aliyo nayo...!!
 
Binafsi namuona huyu jamaa toka Magu afariki ni kama nae hayuko sawa hivi, vitu anavyopost ni utoto mtupu.haviendani na mtu mwenye hadhi yake kabisa.

View attachment 2051979

View attachment 2051980

View attachment 2051981

View attachment 2051982
Hivi ulishaona vitu anavyo post Tulia Ackson sijui utalalamika kiasi gani, haya mambo tuwaachie wenyewe ni mambo binafsi na sioni kama yanavuruga utandeji wao wa kazi na account ni binafsi hatutakiwi kuwapangia cha kupost
 
Daaah msigwa nowdays chenga Sana wazee....!! Tangu Jiwe akate Moto naona kama mshikaj hayuko Sawa hv..iwe ni personal accnt au gvrt mambo ya udaku anayopost ni irrelevant kabisa Kwa jamii iliyostarabika na mbaya zaidi hadhi aliyo nayo...!!
Hebu muangalie Tulia Ackson
 
Ugali umemchosha.
 
Hivi ulishaona vitu anavyo post Tulia Ackson sijui utalalamika kiasi gani, haya mambo tuwaachie wenyewe ni mambo binafsi na sioni kama yanavuruga utandeji wao wa kazi na account ni binafsi hatutakiwi kuwapangia cha kupost
Wote wale wale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…