Mdogo wangu Ibrahim Ajib ' Mido ' kama hii taarifa ni ya kweli basi japo ni mwana Simba SC mwenzio ila ' umeniangusha ' sana na mno

Ilala na Kariako zinalemaza

Hasa Bia na Watoto wa Kiarabu wengi wanaopatikana hapo. Nimeishi Ilala kwa miaka Minne ( 4 ) katikati ya Bungoni na Malapa jirani kabisa na Nyumba aliyokuwa akiishi aliyekuwa Katibu Mkuu wa Simba SC miaka hiyo Marehemu Privas Mtema mwaka 1991 hadi 1995 ( nadhani wengi Wenu hapa mlikuwa bado ama hamjazaliwa au mpo katika Mabeseni mnaogeshwa na mnalilia Uji ) na bado sijaona eneo ambalo lina Vishawishi vingi vya Starehe kama Ilala vya Kuanzia Bia hadi Mademu wakali wakali na najua hivi Vitu Vikubwa viwili ndiyo vinammaliza huyu ' Dogo ' Ibrahim Mido Ajib kiasi cha kuona kuwa Simba na Yanga ndiyo tamati yake Kimpira wakati ana Kipaji Kikubwa kuliko hata alichonacho Mbwana Ally Samatta.
 
Jee

Jee unakumbuka zile enzi za bia za magunia ambapo vijana wengi wa ilala walikuwa wanazivizia pale breweries wakati wa shift za usiku? Ilala ilielea kwa bia na vijana walikuwa wanajua kuzitumia ila leo wote hohe hahe.
 
mitaa ya kina moody london,msomali liban,dr cheni enzi hizoooo,kina marehemu shenaz...
 
Namuona Mrisho Ngassa Mwengine kupitia Ibrahim Ajib

Uko sahihi kwa 100% Mkuu japo nadhani Mrisho Ngassa alikuwa ni ' Popoma ' hasa tu kwani baada ya Kutoka Kule nchini Canada katika ile Klabu aliyopewa Kuku mzima Kula na akashindwa na Kuonekana na ' Minyoo ' iliyotukuka na kuambiwa kuwa arudi Kwanza Tanzania ili ajijenge vyema na baada ya Miezi Sita wangemuita Mwenzetu aliporudi tu akaanza Kufanya ' Umalaya ' wake na Kuwa na Mahusiano na Demu Mmoja hivi Malaya Kawe nzima eneo la Maringo ndipo ukawa mwisho wake Kimpira na najua hadi hivi leo anajuta sana tu.

Na uone kwamba Wachezaji wetu hawa yawezekana Bangi / Bange labda zinahusika Vichwani mwao huyu huyu Ngassa pamoja na kwamba alipata Kucheza Klabu Kubwa tu huko Afrika Kusini mara baada ya Kumuoa huyu Mkewe wa sasa katika hali ya Kushangaza Mrisho Ngassa alikuwa kila Mwezi anadanganya Uongozi wa hiyo Klab kuwa ana matatizo ya Kifamilia na anakuja Tanzania na akifika tu alikuwa anafikia kwa Mwanamke Mmoja ambaye Mrisho Ngassa atapindua kwa Wanawake wote hapa nchini ila kwa huyo hapindui kwani ameshikwa na amekamatika vilivyo.

Huyo Mwanamke ni Msanii na Mwanamuzi Mkubwa sana wa Muziki wa Taarabu anatokea Mkoa wa Mara na katika moja ya a.k.a za Majina yake kuna Moja lina Uhusiano na Klabu Moja hivi Kubwa na Bingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mara ya Pili mfululizo sasa. Huyo Mwanamke anamfanya Ngassa anavyotaka na Ngassa anakuwa mpole tu.

Hapo bado sijamuelezea na ' Popoma ' mwingine Haruna Moshi ' Boban ' ambaye nae hadi leo ametuacha Midomo wazi.
 
Jee

Jee unakumbuka zile enzi za bia za magunia ambapo vijana wengi wa ilala walikuwa wanazivizia pale breweries wakati wa shift za usiku? Ilala ilielea kwa bia na vijana walikuwa wanajua kuzitumia ila leo wote hohe hahe.

Mkuu naona sasa umeamua ' Kutusimanga ' wengi kwa hiki ulichokiandika hapa kwani umesema Ukweli mtupu japo unatuuma.
 
Ningekuwa Mnyonge angenikimbia na Kusalimu amri Kwangu? Wewe umemuona baada ya Kumpa ' Dozi ' yangu ' ameshoboka ' na Mimi tena?
hahahahahaha. hivi yule msomali liban pale bungoni yupo? na lile dada lina biriani kama lote jirani na mzee madebe bado yupo?
 
mitaa ya kina moody london,msomali liban,dr cheni enzi hizoooo,kina marehemu shenaz...

Tatizo la Wanawake wengi wa Kisomali wa hapo Kitaani Ilala Kipindi hicho walikuwa wana tatizo sana la Magonjwa ya Zinaa hasa ukizingatia Magari mengi hasa yale ' Malori ' ya Mizigo ya Wasomali yalikuwa yakipaki mno hilo eneo hivyo Waswahili na Wasomali tulikuwa ' tunatindua ' aina hiyo hiyo ya ' Mbunye ' zao hali ambayo wengi Wetu kwa Kuugua Ugua Magono na Makaswende Kila mara tulikuwa tayari tumeshazoeleka na Manesi wa Hospitali ya Amana achilia mbali hiyo ya hapo Aviation ambapo tulikuwa tukifika tu hatuulizwi tunaumwa nini badala yake tunaelekezwa tu wapi kwa kwenda Kuchukua Dawa zetu za Gono na Kaswende.
 
kwa kweli,kuna demu nilikuwa nalichukua kipindi hicho linjasoma dsj nikawa nashuhudia vituko huko.yule msomali liban alikuwa anatindua hadi mashoga,moody london mdogo wake mke wa salmin amour akapata kashfa ya kulawiti mtoto wake wa kiume,enzi hiizo joyce kiria anauza kale kaduka pale basata watu wanajichapia
 
Uzi umejaa nonsenses kibao habari za duka la Gadiel linahusika vipi?Uwanja wa Barafu upo Tanganyika Packèrs?siku nyingine usiandike kupashwa ni kupaswa
 
hahahahahaha. hivi yule msomali liban pale bungoni yupo? na lile dada lina biriani kama lote jirani na mzee madebe bado yupo?

Mimi hadi hivi leo Mtu pekee ninayemkumbuka kwa Ilala yetu ile kati ya Bungoni na Malapa ni Yule Chizi ' maarufu ' aliyekuwa akiitwa BOSS NIGA wengine wengi nimeshawasahau Mkuu kwani nilitoka huko rasmi mwaka 1995 japo bado huwa naenda pale ratiba isipobana kuwakumbuka kumbuka ' Wana ' wangu kwani sehemu pekee ambayo ilinifanya nami niwe Mchezaji Mpira mzuri ni Ilala huku tukiwa tunacheza na Mdogo wake Dua Said aitwae Samora bila kuwasahu na akina Abdul Mashine ' Shinenga ' sema tu Wazazi wetu wa ' Kikoloni ' Kipindi hicho ulikuwa ukitaka Kugombana nao basi Wewe cheza Mpira.

Nina uhakika kama isingekuwa ' Ukoloni ' wa Wazazi na kutokuwa na Kipaumbele katika Michezo hasa Mpira wa Miguu na Kutulazimisha Watoto Wao tukazane na Elimu na tusome sana kwa aina ya Mpira ambao nilikuwa naucheza hasa hasa Beki Namba Mbili, Tatu, Nne na hasa hasa Kiuongo Mkabaji na Winga wa Kushoto leo hii huenda nami ningekuwa ' naogelea ' tu Mipesa na Utajiri wa Wazungu huko Ulaya katika Vilabu vyao na badala yake sasa napambana tu na ' Umasikini ' wangu uliotukuka huku hiyo Elimu niliyoambiwa niikazanie hata sioni Tija yake kwani wasiokuwa nayo ' wametajirika ' huku ' Vipaji ' vyao vikiendelea kuwafanya waukimbie ' Ukapuku / Umasikini ' huo.

Na hapa hapa nitoe RAI Kubwa kwa Wazazi wa sasa kuwa Heshimuni sana Vipaji vya Watoto wenu na mviendeleze pasipo Kuwavunja Moyo. Ni kweli na nakiri hapa hapa kuwa Elimu ni muhimu kwa Mtu yoyote ila tusifichane kwa dunia hii ya sasa ' Kipaji ' ndiyo kila kitu ( mpango mzima ) hasa katika Kumkomboa vyema Mtoto wa Kitanzania / Kiafrika. Ukimuona Mwanao anapenda Kitu fulani tafadhali usimkataze bali mpe Ushirikiano kwani kupitia hicho Kipaji chake alichopewa na Mwenyezi Mungu anaweza akaja kuwa Mtu muhimu Kwako, kwa Taifa zima na hasa kwa Familia yake.
 
kwa kweli,kuna demu nilikuwa nalichukua kipindi hicho linjasoma dsj nikawa nashuhudia vituko huko.yule msomali liban alikuwa anatindua hadi mashoga,moody london mdogo wake mke wa salmin amour akapata kashfa ya kulawiti mtoto wake wa kiume,enzi hiizo joyce kiria anauza kale kaduka pale basata watu wanajichapia

Mkuu basi imetosha ishia tu hapa kwani sasa ' unafunguka ' mno. Vipi Mwenzangu Wewe akina Gono na Kaswende walikuwa wanakuogopa au nawe walikuwa na Urafiki nawe kama walivyokuwa na Urafiki nami?
 
Uzi umejaa nonsenses kibao habari za duka la Gadiel linahusika vipi?Uwanja wa Barafu upo Tanganyika Packèrs?siku nyingine usiandike kupashwa ni kupaswa

Pumbavu.
 
naumbu halafu naomba nionyeshe ni wapi katika Maelezo yangu ' Content ' nimesema kuwa Uwanja wa Barafu upo Tanganyika Packers? Naona tokea Ustaafu kwa lazima Mchezo wako wa ' Kunyabeliwa ' Siku hizi umekuwa ni ' Mpumbavu Mwandamizi ' mno. Na naona ulikuwa ukinitafuta Siku nyingi na bahati nzuri leo umenipata hivyo nami sina budi ' Kukunyoosha ' ipasavyo.
 
Huna uwezo na ujanja wa kumnyoosha mtu,juzi tu ulikua unalia humu kwa mods kwa matusi ya jikoni;Unatajataja mitaa na watu ili uonekane mtoto wa mjini na walugaluga wenzio wakati hauna hata X mas kumi Mzizima;The way ulivyoandika hii thread umeonyesha ulivyo na shobo kwa Wanaume wenzio;Wewe kama mpaka leo kufahamiana na Wachezaji unaona ujanja basi ni Kolo uliyetukuka,jifunze jinsi ya kubalance shobo.
Hakuna mtoto wa mjini anaweza kutamka au kuandika "Kupashwa"
 
Naona unanilazimisha ' nikunyabenga ' kama ulivyozoea ' Kunyabeliwa ' ila labda nikuambie tu Mimi Mchezo huo sifanyi na Wadau wa ' Unyabezi ' hawajaisha hivyo unaweza ukajaribu na Kwao pia Pumbavu.
 
Wewe tumia misamiati yote ya kwenu shamba huko ila utawababaisha mambwisi wenzio mliokuja mjini Stand ikiwa Ubungo,unapewa story za vijiwen na wewe unakuja kujifanya unajua watu humu,Wewe Mshamba tu hata ujitutumue vipi humu watoto wa mjini wanajulikana character zao,Shukuru mjomba wako kukuleta mjini hapa ulishe ng'ombe wake
 
Hivi na boban Alitokea ilala ?isijekuwa mateja wa ilala wanatuharibia kabumbu.
 
Back
Top Bottom